Tetesi nzito za kutisha: Kambole out, Manzoki in, Barbara shauri zako

Tetesi nzito za kutisha: Kambole out, Manzoki in, Barbara shauri zako

Simba sio Manzoki, na Manzoki sio Simba!
Huwez kumpa pesa mchezaji anayeongezewa Bei na timu yake isivyo sawa Ili TU kuwafurahisha mashabiki
Unayajua maneno ya mkosaji? Unikumbuka ile hadithi ya sizitaki mbichi hizi?
 
Dada msomi, dada mzungu ,msouth america, mlatino , m colombia, miss gonzalez, masihara yakizidi hutumbua usaha, the chickens are coming home to roost

Hizi tetesi kama ni kweli narudia tena kama ni kweli aisee utakuwa kwenye wakati mgumu sana , yaani hadi nakuonea huruma kwa kweli najaribu kujenga picha ile loyal fan base yako including mimi itakavyokuwa na hasira na wewe

Msimu ulioisha kila mtu alijua lazima waje namba 6 na namba 9 wanaojua kwelikweli siyo wa kubahtisha , mkaamua kuleta ma pro Dejan na Akpan, na tatizo bado lipo , dah Mungu wangu huku mkiweka malengo ya nusu fainali CAF

Sasa dada wakati tunaendelea kusubiri wachezaji wa simba wazoee na kujifunza mikimbio ya mzungu habari zinadai yanga wanamchukua manzoki na wanamuacha kambole na kama inavyojulikana mwisho wa kupeleka majina CAF kwa faini ni 30th august

Nakutakia kila la kheri sana katika ukurasa mpya wa kujitetea kwa wanasimba hakika kama ni kweli utakuwa umepigwa bonge la kofi na Engineer Hersi na itakuwa aibu ya mwaka ,maana mnapenda pesa ziingie tu kutoka ni shida

Narudia tena itafika point hadi utaona aibu kutoka nje ya nyumba yako labda mikimbio ya mzungu iwe imeanza kuzaa matunda.
Yule demu papuchi yake ndiyo iliyomfanya akabidhiwe timu....sasa wewe LOFA unayo papuchi? mwacheni afanye anachoambiwa wakati wa kugegedwa na ponjori
 
Hakuna Biashara mbovu kama ya kubembeleza Mtu mkorofi akuuzie kitu.
We, acha tu. Kuna kiwanja jirani yangu kinauzwa nikamtafuta mmiliki akasema hauzi nikabembeleza akasema nimpe 60m, bei ya soko 15m. Hawa vipers....
 
Bila tetesi hakuna soka ni kweli ila wakati mwingne kinachoitwa tetesi ni uzushi tu usiokua na uti wa mgongo.
 
Ifike hatua suala la mamzoki liwe clearly, km anakuja au hafiki,
Tumechoka na heka heka hizi lol.
 
Back
Top Bottom