Tetesi:udsm yapunguza udahili kwa zaidi ya 30% katka mwaka wa masomo 2013/14.

Tetesi:udsm yapunguza udahili kwa zaidi ya 30% katka mwaka wa masomo 2013/14.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Sababu kubwa ni
1}wengi wa applicants hawana sifa za kujiunga na udsm
2}kukabiliana na tatizo la accomodation.
3}ufinyu wa vyumba vya madarasa.
Source:mtu kutoka ofisi ya prof maboko{DVC-academic}
 
Sifa za kujiunga na UDSM zina tofauti gani na MUHAS au DIT? Sababu ya pili na tatu zinaingia akilini.
 
Sasa mbona tcu wamewachagua kulingana na vigezo vya guidebook yao?iweje chuon wawapunguze?au tcu hawajacosider baadhi ya requiqement.
 
Sababu kubwa ni
1}wengi wa applicants hawana sifa za kujiunga na udsm
2}kukabiliana na tatizo la accomodation.
3}ufinyu wa vyumba vya madarasa.
Source:mtu kutoka ofisi ya prof maboko{DVC-academic}

Kwani udsm wanatumia sifa gani? hamna lolote sifa za kawaida tu kujiunga udsm
 
moja ya strategic plan ya UDSM ilikuwa kupunguza udahili wa wanafunzi wa shahada ya kwanza na kuongeza udahili ya shahada ya pili na zaidi, au kifupi ni kuwa mpango wa serikari ni kuwa UDSM kwa baadae wajikite kwenye udahili wa wanafunzi wa masters na zaidi na kupunguza wanafunzi wa degree ya kwanza.

source; Soma startegic plans za udsm
 
naona mnao uliza sifa za kujiunga UDSM hamajasoma hapoa,laiti kama mgesoma ahapo mngezijua,kama vp nendeni kwa DVC-Academic akawaelekeze
 
UDSM is the no.1 versity in TZ. so lazma sifa za kujiunga ziwe tofauti na vyuo vingine.hawabebibebi hovyo kama UDOM na wengine wengi.
 
Tumesoma kwenye vyuo vyenye hadhi na sifa kuliko hiyo UDSM unayojivunia wewe.

naona mnao uliza sifa za kujiunga UDSM hamajasoma hapoa,laiti kama mgesoma ahapo mngezijua,kama vp nendeni kwa DVC-Academic akawaelekeze
 
moja ya strategic plan ya UDSM ilikuwa kupunguza udahili wa wanafunzi wa shahada ya kwanza na kuongeza udahili ya shahada ya pili na zaidi, au kifupi ni kuwa mpango wa serikari ni kuwa UDSM kwa baadae wajikite kwenye udahili wa wanafunzi wa masters na zaidi na kupunguza wanafunzi wa degree ya kwanza.

source; Soma startegic plans za udsm

Angalau hoja yako ina mashiko kidogo aisee.....
 
Halafu kumbukeni watoto gs mlifeli ohooo...so mnadhan udsm wajinga
 
Hayo maswali ya sifa za kujiunga udsm ziko je.nadhan iko open,udsm wanachukua cream zote zinazotaka kusoma masomo yanayohusiana na uhandisi,uchumi na biashara,sheria,ualimu,na kozi zingne za arts na science..sasa kwa mwaka huu vijana wengi wamepata dv 3 tena zile chafu kitu ambacho kinawanyima sifa ya kuja mjengoni.
 
Kwani udsm wanatumia sifa gani? hamna lolote sifa za kawaida tu kujiunga udsm

hata kama ni za kawaida.mbona wewe ulishndwa kuzipata,ukaishia kupelekwa huko muccobs chuo ambacho hadhi yake ni sawa na secondary ya kata?
 
Back
Top Bottom