Sababu kubwa ni
1}wengi wa applicants hawana sifa za kujiunga na udsm
2}kukabiliana na tatizo la accomodation.
3}ufinyu wa vyumba vya madarasa.
Source:mtu kutoka ofisi ya prof maboko{DVC-academic}
naona mnao uliza sifa za kujiunga UDSM hamajasoma hapoa,laiti kama mgesoma ahapo mngezijua,kama vp nendeni kwa DVC-Academic akawaelekeze
moja ya strategic plan ya UDSM ilikuwa kupunguza udahili wa wanafunzi wa shahada ya kwanza na kuongeza udahili ya shahada ya pili na zaidi, au kifupi ni kuwa mpango wa serikari ni kuwa UDSM kwa baadae wajikite kwenye udahili wa wanafunzi wa masters na zaidi na kupunguza wanafunzi wa degree ya kwanza.
source; Soma startegic plans za udsm
Tumesoma kwenye vyuo vyenye hadhi na sifa kuliko hiyo UDSM unayojivunia wewe.
hongera sana!,ni Tumaini nn?
Halafu kumbukeni watoto gs mlifeli ohooo...so mnadhan udsm wajinga
Halafu kumbukeni watoto gs mlifeli ohooo...so mnadhan udsm wajinga
Limbukeni wa Elimu.. Nimesoma DIT and now Waseda university Japan.... unadhani wote ni level yako?
ok,me nimesoma UDSM na Westminster.....sooo are we on the same level?
Unalinganisha Waseda na Westminster? tazama rank ya hivyo vyuo kidunia alafu unipe jibu...
Tazama world ranking hapo Waseda na hicho chuo chako
QS World University Rankings - 2012 | Top Universities
Then tazama ndani ya Japan ni cha ngapi alafu ulinganishe na chuo chako..
Top Universities in Japan | 2013 University Web Rankings
Acheni kelele na misifa yenu..