Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Naomba hizi tetesi ziwe za kweli aisee. Watumiaji wote anzeni kufanya mazoezi ya kuwa natural, maana pengine na vitu vingine vikazuiwa pia.
Maswala unakuta eti Chausiku nae ananywele hadi mgongoni, au Pili anang'aa usoni alafu viwiko kama aliegemea vumbi la mkaa au oil chafu.
Huu mwaka ndio mwisho wa hayo mambo.
MSISEME HAMKUAMBIWA