Tetesi : Uvaaji na uingizaji mawig nchini kupigwa marufuku ifikapo 2019

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
17,637
Reaction score
47,413
Naomba hizi tetesi ziwe za kweli aisee. Watumiaji wote anzeni kufanya mazoezi ya kuwa natural, maana pengine na vitu vingine vikazuiwa pia.

Maswala unakuta eti Chausiku nae ananywele hadi mgongoni, au Pili anang'aa usoni alafu viwiko kama aliegemea vumbi la mkaa au oil chafu.

Huu mwaka ndio mwisho wa hayo mambo.

MSISEME HAMKUAMBIWA

Analyse
 
Michubuo naafiki kupigwa marufuku ila mawigi na manywele siafiki
 
Wanapiga marufuku kuingiza au kuvaa. Maana kama ni kuingiza tu ila kuvaa ruksa hapo hamna kitu watakuwa wamefanya.
 
Mi natamani hii ipitishwe hata leo leo *****
Naomba hizi tetesi ziwe za kweli aisee. Watumiaji wote anzeni kufanya mazoezi ya kuwa natural, maana pengine na vitu vingine vikazuiwa pia.

Maswala unakuta eti Chausiku nae ananywele hadi mgongoni, au Pili anang'aa usoni alafu viwiko kama aliegemea vumbi la mkaa au oil chafu.

Huu mwaka ndio mwisho wa hayo mambo.

MSISEME HAMKUAMBIWA

Analyse
 
Naomba hizi tetesi ziwe za kweli aisee. Watumiaji wote anzeni kufanya mazoezi ya kuwa natural, maana pengine na vitu vingine vikazuiwa pia.

Maswala unakuta eti Chausiku nae ananywele hadi mgongoni, au Pili anang'aa usoni alafu viwiko kama aliegemea vumbi la mkaa au oil chafu.

Huu mwaka ndio mwisho wa hayo mambo.

MSISEME HAMKUAMBIWA

Analyse
Hayo mawigi yanalipa kodi, unazani yatapigwa marufku katikati ya mwaka wa bajeti, acha kudanganya watu
 
Wanapiga marufuku kuingiza au kuvaa. Maana kama ni kuingiza tu ila kuvaa ruksa hapo hamna kitu watakuwa wamefanya.
Vyote mkuu. Maana watazuia kuingiza mzigo mpya at the same time watazuia kuvaa
 
Mawigi yenyewe hawavai kwa mpangilio, atanyeshewa nalo Jioni Asubuhi yupo nalo kichwani kwa nini yasitoe uvundo
 
Hili likipita dem wangu ntamnunulia yawe yanaingia nchini hata kwa njia haramu.. acha watoto wazuri wapendeze bila hawa maisha yasingekuwa na maana
Uchafu ule bana vichwa vyenyewe hesabu vilishindwa bado mnavalishana mi kamba na nywele za marehemu

Dem wangu hio mambo nikimkuta ndo ticket ya breakup!!
 
Back
Top Bottom