Naomba hizi tetesi ziwe za kweli aisee. Watumiaji wote anzeni kufanya mazoezi ya kuwa natural, maana pengine na vitu vingine vikazuiwa pia.
Maswala unakuta eti Chausiku nae ananywele hadi mgongoni, au Pili anang'aa usoni alafu viwiko kama aliegemea vumbi la mkaa au oil chafu.
Huu mwaka ndio mwisho wa hayo mambo.
MSISEME HAMKUAMBIWA
Analyse
Hayo mawigi yanalipa kodi, unazani yatapigwa marufku katikati ya mwaka wa bajeti, acha kudanganya watuNaomba hizi tetesi ziwe za kweli aisee. Watumiaji wote anzeni kufanya mazoezi ya kuwa natural, maana pengine na vitu vingine vikazuiwa pia.
Maswala unakuta eti Chausiku nae ananywele hadi mgongoni, au Pili anang'aa usoni alafu viwiko kama aliegemea vumbi la mkaa au oil chafu.
Huu mwaka ndio mwisho wa hayo mambo.
MSISEME HAMKUAMBIWA
Analyse
Hahhahaha. Imebidi nichekekama kuna kitu nitakipenda kwa mara ya kwanza kilichofanyika chini ya uongozi huu basi ni huo mswada
Uchafu ule bana vichwa vyenyewe hesabu vilishindwa bado mnavalishana mi kamba na nywele za marehemuHili likipita dem wangu ntamnunulia yawe yanaingia nchini hata kwa njia haramu.. acha watoto wazuri wapendeze bila hawa maisha yasingekuwa na maana