Tetesi : Uvaaji na uingizaji mawig nchini kupigwa marufuku ifikapo 2019

Ndio umeandika nini sasa... your mind can't comprehend what is being discussed
 
Raynavero Utavaa Nini Sasa Huko Kichwani
 
Afadhali amina miguno aache kuvaa wigi
 
hahahhaaaa.. sikua nimeuona mama. wanaota hao. wanataka tusivae mawig tufanane na babu zetu eeh. ngoja niongeze stock mapema ili ikifika huo mwaka niwe nayo kabisa. bby ujumbe itakua kaupata hapa wa kuongeza mawig
Nakumbuka kauli mbiu yako kuwa mambo ya natural tuachie misituπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
waanze na mikorogo, dildos na dawa za kuongeza shape ndo waturudie sisi wa mawig. mtu kajivalia nywele zake wao kinachowauma nini wakati hakimdhuru? watuache tafadhali kuna mengi ya kupiga marufuku sio nywele. ipo siku tutapewa na style za kuweka kichwani kama hawataki mawig
 
Nakumbuka kauli mbiu yako kuwa mambo ya natural tuachie misituπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
eeeh. mambo ya natural kwenye nywele siyawezi. bora watoe powder na lipstick nitavumila sio nywele jamani.
 
FALSE!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…