Tetesi: Wema Sepetu afungua duka la vipodozi South Africa

Nampenda sana wema lakini haaminiki kwa stori zake
 
Washabiki wake wako Bongo lakini anakwenda South Africa kufungua biashara!

Ni vipi ataweza kushindana na wafanyabiashara wazawa ambao hawana big expenses such as accommodation and travel cost?

She just pouring her money down the drainage!
 
Kama ni kweli umefanya la maana all the best na ufanikiwe ka ni Yale ya kiki ka kawaida ni shiider
 
Huyu demu mi simuanigi mastoria yake, toka kununua jumba lakifahari 400m + superstar movie + omotola jelaide kaja kuzindua hewa + harusi hewa + umiliki wa viwanja vita3 kigamboni + kwenda states kumbe yuko sinza sina hamu nae aiseeeee!!!!
 
Hahahahahaaaa, leo watu mmelivalia hili suala kibwebwe hadi nimeogopa!

Mwenzangu watu washamchoka na uongo wake, alidanganya anamilik nyumba ya mil 400, akadanganya kabeba mimba ya domo kumbe uwongo, juzi katudanganya kwenye radio kaolewa, leo tena anaduka south? Hajatupata bado, akawadanganye uko uko instagram mxiuuu
 
Mwenangu wema kazidisha uongo, hadi naogopa kumpa hongera maana nitaumbuka hivihivi!
 
Washabiki wake wako Bongo lakini anakwenda South Africa kufungua biashara!

Ni vipi ataweza kushindana na wafanyabiashara wazawa ambao hawana big expenses such as accommodation and travel cost?

She just pouring her money down the drainage!

Tatizo anajifanya maarufu, anajiona dunia nzima inamjua , halafu kingine ni muongo kupindukia
 
Kama ni kweli umefanya la maana all the best na ufanikiwe ka ni Yale ya kiki ka kawaida ni shiider

Huyo mwandishi ni team wema tu maana anavyomsifia, eti yuko busy akirekodi filamu zake, filamu gani? Halafu hao mashabik zake wanamshobokea insta tu, jana filamu aliyocheza imetoka ata haina kick madukan, yan kwenye filamu apumzike tu aendelee kuza papuchi tu
 
Huyu demu mi simuanigi mastoria yake, toka kununua jumba lakifahari 400m + superstar movie + omotola jelaide kaja kuzindua hewa + harusi hewa + umiliki wa viwanja vita3 kigamboni + kwenda states kumbe yuko sinza sina hamu nae aiseeeee!!!!

Yani umewaza kama mimi yani
 
Mwanamke anapenda KICK huyu na mambo makubwa, sasa wema na kufungua duka south wapi na wapi? Kama bongo apa ata biashara ya kuuza viatu ilimshinda hlo duka la south ataliwezea wapi? Mxiuuu ovyo kabisa
warumi nilienda kujiunga bando kutokana na folen ndo nimerudi now..
Vip ule umbea wa mama fidodido umetolewa nini? Lol nahisi kukonda kwa kuukosa
 
Last edited by a moderator:
Huyu demu mi simuanigi mastoria yake, toka kununua jumba lakifahari 400m + superstar movie + omotola jelaide kaja kuzindua hewa + harusi hewa + umiliki wa viwanja vita3 kigamboni + kwenda states kumbe yuko sinza sina hamu nae aiseeeee!!!!

Mi nahisi anatafta tu kiki aisee angekua ametulia na kutumia umaarufu wake vizuri sa ivi angekua milionare. Sema ndo hvo akili ya kufanya biashara hana. Siku umaarufu ukimuisha ndo atapata akili.
Hyo ya omotola Mara filamu ndoa ndo alini chosha hlo duka kwanini asingefungua bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…