warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #81
sio haaminiki watu huwa wanatunga uongo sana juu ya wasanii na kuvipost, interviews za wema hajasema ameolewa
Iv unajielewa wewe? Wakat alihojiwa na gossip cop wa clouds akakiri kabisa kuwa kaolewa na hatak mume wake hajulikane, kwa hyo ata ile nyumba ya mil 400 nayo shigongo ndo aliyesema au? Ebu acha kushabikia ujinga apa mxiuuu