Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Mimi namshangaa sana huyu mama, jina lake ni brand kubwa sana just imagine hiyo turnover ambayo angekuwa anaipata kama angefungua boutique yake pale sinza or anywhere else here in Dar es salaam. Sijui hana washauri huyu mwanamke? Aangalie wanawake wengine wanavyotumia majina yao makubwa kufanya biashara. Good example ni Dina Marious aliyekuwa mtangazaji wa clouds radio. Anapiga business balaa ya mafuta yake ya watoto. Au ndio kusema ameshalemewa na pesa za rahisi rahisi kutoka kwa wanaume wakware wahongaji!? This is pathetic!
Martin Kadinda alishaongea kuhusu biashara akashindwa!!