Tetesi: Wema Sepetu afungua duka la vipodozi South Africa

Tetesi: Wema Sepetu afungua duka la vipodozi South Africa

Mimi namshangaa sana huyu mama, jina lake ni brand kubwa sana just imagine hiyo turnover ambayo angekuwa anaipata kama angefungua boutique yake pale sinza or anywhere else here in Dar es salaam. Sijui hana washauri huyu mwanamke? Aangalie wanawake wengine wanavyotumia majina yao makubwa kufanya biashara. Good example ni Dina Marious aliyekuwa mtangazaji wa clouds radio. Anapiga business balaa ya mafuta yake ya watoto. Au ndio kusema ameshalemewa na pesa za rahisi rahisi kutoka kwa wanaume wakware wahongaji!? This is pathetic!

Martin Kadinda alishaongea kuhusu biashara akashindwa!!
 
Lazima sio pesa yake na mtu anataka kutumia jina lake kuuza hiyo ni labda. Atakapojuta kama amejikalia nyuma bora atoke ashike boti.

Ok tuseme ipo SA inauzwa dola 40 ikifika TZ si itakuwa dola 60 au 70 moja au zaidi (nampaisha SA lazima kaenda kushindana za wajulikanao duniani)

Maana sioni kwanini mtu afungue nchi ingine ndio labda ni za bei hiyo ya juu kwa moja
 
zinaishiaga hewani,ile ya superstar alisema eti muhindi hakufika dau,yeye alitumia million 68 na muhindi akataka kununua kwa bei ndogo.ndio maana haikutoka,!
Mi anachonikera mama ubaya uzuri anao lakini hajijui kama mzuri

Yani atengeneze movie agome kuuza kisa dau si angeuza hata kwa hasara. Bongo movie bado haijafika kutengeneza movie kwa gharama hyo.
Ni mzuri na maarufu lakini hautumii Ku make money umri ukimtupa atakuja kuanza jutraaaaa.
 
Mwenzangu, we muache tu ajishaue, wenzie akina nisha na odama uko instagram wanazipa promo filamu zao, yani wanajitahid sana wale ila sio wema, yeye wanaume tuuu na kutafuta misifa ya kijinga, awaulize akina nora sasa ivi wako wapi

Yeye hana huo mda wa Ku promote hizo issue zake anawaza drama Ku make headlines kwa shingongo. Ndo ule msemo wa penye miti hakuna wajenzi. Umaarufu nao huisha.
 
Yani atengeneze movie agome kuuza kisa dau si angeuza hata kwa hasara. Bongo movie bado haijafika kutengeneza movie kwa gharama hyo.
Ni mzuri na maarufu lakini hautumii Ku make money umri ukimtupa atakuja kuanza jutraaaaa.

huyo ndio mama ubaya bwana!rafiki yake na warumi
 
Kwani hapa Dar analo mpaka aende huko....sema anaenda kujiuza huko...
 
Back
Top Bottom