warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
Wamenifurahisha sana binamu, nimeshawaunga kwenye group la umbea kwakweli.
Yani nilijua nitachambwa leo nikasema litakalo kuwa na liwe, kumbe na watu wamemchoka khaa, inabid abadilike, wema toka aachane na diamond akili yake haijakaa vzur, badala apunguze drama yeye na team yake ndo kwanza wanamkashfu mama mkwe wake, yani apo kurudiana na ndomo asahau maana anazid kujiaribia