Tetesi: Wema Sepetu afungua duka la vipodozi South Africa

Wamenifurahisha sana binamu, nimeshawaunga kwenye group la umbea kwakweli.

Yani nilijua nitachambwa leo nikasema litakalo kuwa na liwe, kumbe na watu wamemchoka khaa, inabid abadilike, wema toka aachane na diamond akili yake haijakaa vzur, badala apunguze drama yeye na team yake ndo kwanza wanamkashfu mama mkwe wake, yani apo kurudiana na ndomo asahau maana anazid kujiaribia
 
Hivi hzo filamu anazo record mbona huwa hatuzioni. Aendelee kujipa matumaini mda wake ukipita itakua ka Nora kuonyesha magazeti.
 
Wema jamani hivi ukifanya tu mambo yako kimya kimya utakufa? U always seeking 4 attention its pathetic..... sio kwa ubaya
 
Wema jamani hivi ukifanya tu mambo yako kimya kimya utakufa? U always seeking 4 attention its pathetic..... sio kwa ubaya

Yani ni wa kumuonea huruma tu
 
Hivi hzo filamu anazo record mbona huwa hatuzioni. Aendelee kujipa matumaini mda wake ukipita itakua ka Nora kuonyesha magazeti.

Mwenzangu, we muache tu ajishaue, wenzie akina nisha na odama uko instagram wanazipa promo filamu zao, yani wanajitahid sana wale ila sio wema, yeye wanaume tuuu na kutafuta misifa ya kijinga, awaulize akina nora sasa ivi wako wapi
 
Ahahahaha!!huu uzi nimeuona sasa hivi nimepitajwe sasa!!bora semeni nyie maana mi nkisema naonekana nakua too personal,unafikiri kujiuza mchezo!!
 
Hivi hzo filamu anazo record mbona huwa hatuzioni. Aendelee kujipa matumaini mda wake ukipita itakua ka Nora kuonyesha magazeti.

zinaishiaga hewani,ile ya superstar alisema eti muhindi hakufika dau,yeye alitumia million 68 na muhindi akataka kununua kwa bei ndogo.ndio maana haikutoka,!
Mi anachonikera mama ubaya uzuri anao lakini hajijui kama mzuri
 
Kama ni kweli ni wazi uwezo wake wakufikiri ni mdogo sana!
Bila kukuna kichwa ni wazi hilo duka lingemlipa zaidi hapa nchini tena ange uza kwa jina lake na ange tengeneza faida zaidi!
 
Babu siku hizi anatapa tapa kutafuta kiki halafu mmemchunia...wabaya nyie

Teh Teh....tulimchoka na mambo yasiyo na msingi...alitaka Basata wa mpeleke mahakamani ili apate kick...
Unajua Babu yako swala la tunzo limemdhalilisha maana hadi sasa ana tapa tapa...na hakutegemea kama watu wange mpinga kiasi kile.
 
zinaishiaga hewani,ile ya superstar alisema eti muhindi hakufika dau,yeye alitumia million 68 na muhindi akataka kununua kwa bei ndogo.ndio maana haikutoka,!
Mi anachonikera mama ubaya uzuri anao lakini hajijui kama mzuri

MIlion 68 kwa kip? Mxiuuu muongo mkubwa huyo
 
Kama ni kweli ni wazi uwezo wake wakufikiri ni mdogo sana!
Bila kukuna kichwa ni wazi hilo duka lingemlipa zaidi tena ange uza kwa jina lake na ange tengeneza faida zaidi!

Anataka na yeye tumuone mfanyabiashar kama zari, mxiuuu labda aseme anananua vyupi kutoka south aje auze bongo ila sio kuwa na duka, apa bongo tu biashara ya kuuza viatu imemshinda, uko south ataweza? Anapenda mambo makubwa kazi hatak kufanyaa
 
Mimi namshangaa sana huyu mama, jina lake ni brand kubwa sana just imagine hiyo turnover ambayo angekuwa anaipata kama angefungua boutique yake pale sinza or anywhere else here in Dar es salaam. Sijui hana washauri huyu mwanamke? Aangalie wanawake wengine wanavyotumia majina yao makubwa kufanya biashara. Good example ni Dina Marious aliyekuwa mtangazaji wa clouds radio. Anapiga business balaa ya mafuta yake ya watoto. Au ndio kusema ameshalemewa na pesa za rahisi rahisi kutoka kwa wanaume wakware wahongaji!? This is pathetic!
 
hii sini ni nomar ila mwisho wa mkanda shaujua coZ n bongo movie yan wema alikuwa kweny maisha ya dhiki akapata bwan akamfungulia duka akajifanya mack muga akanyang'anywa duka jamaa akapata kademu kazur akakaoa zen wema akarudi kwenye hali ya zamani
 
MIlion 68 kwa kip? Mxiuuu muongo mkubwa huyo

Ahahaaa ndio alivyosema mwenyewe,Ile video kule instagram juzi ameitoa anacheza nyimbo fulani ya kizungu duuh!!Mama ubaya mzuri ila mmnh,uongo umemjaa.
 
Yani ni wa kumuonea huruma tu

Yani if only angekua na akili za mtaani achanganye na za kuzaliwa wema would be kinda kina klyn women wanaojielewa kimtindo sasa yy kutwa ntafanya hivi nafanya hivi juat wake up and do it dili likitiki poa people watajua likigoma siri yako.... ona sasa ile ishu ya ndoa eti naogopa watu watatuloga kheee nani asiyeolewa sikuizi.... i dont hate her i wish angekua smart kidogo tu ingesaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…