sio haaminiki watu huwa wanatunga uongo sana juu ya wasanii na kuvipost, interviews za wema hajasema ameolewa
kwa hiyo na hili kasingiziwa?
Mi nahisi anatafta tu kiki aisee angekua ametulia na kutumia umaarufu wake vizuri sa ivi angekua milionare. Sema ndo hvo akili ya kufanya biashara hana. Siku umaarufu ukimuisha ndo atapata akili.
Hyo ya omotola Mara filamu ndoa ndo alini chosha hlo duka kwanini asingefungua bongo.
Akumbuke kuna mtu alikuwa maarufu ka sintah manongi?... Lakini sasa hivi yuko wapi zaid ya kuwa kuwadi na housegirl wa mnyankole pamoja na elimu yake! Time will tell a tale. Asubiri tu.
Hivi hzo filamu anazo record mbona huwa hatuzioni. Aendelee kujipa matumaini mda wake ukipita itakua ka Nora kuonyesha magazeti.
warumi hivi unakumbuka one in among other of her in my shoes episodes, analia eti cjui alimpa 5m petit man kapoteza wema kapanic mara martin katwangana na petit, kumbe urongooo..reality bongo!Tatizo anajifanya maarufu, anajiona dunia nzima inamjua , halafu kingine ni muongo kupindukia
Na wasiwasi na hiyo D.A.D yake na Van vicker sjui ka kuna muvi pale!...zile zilikuwa sio stress kweli za domo akaona akarushe roho na Van?... Leo yenyewe kwenye in my shuzii yake mpya naona anaonesha beyond the scene eti ana muvi mpya sjui inaitwa mchungu whatever!..simuamin hata robo...
MIlion 68 kwa kip? Mxiuuu muongo mkubwa huyo
warumi hivi unakumbuka one in among other of her in my shoes episodes, analia eti cjui alimpa 5m petit man kapoteza wema kapanic mara martin katwangana na petit, kumbe urongooo..reality bongo!
Kakake wa kufikia, pacha wake na Mrembo by Nature,
Nimekumiss mrembo.
Vipi unagawa hela? No matter what Wema ni wangu tu.....