Tetesi za Majjizo kuzaa na Salma Msangi

Si unajua tena...

Wanaume wanadatishwa na ile rangi, otherwise ni wa kawaida tu...

Ila ana milonjo mizuri...

Btw hivi Wolper naye mzuri/mlimbwende eenh?
Lulu hamfikii hata Wolper kwa uzuri. Uwoya ndo namuonaga mrembo wa miaka yote
 
Hahahahaha.... nyie si mnajifanya ma church girl,unakuja home kwangu na tenzi za rohoni
Hawa makarmatiki hawa Mungu anawaona!

Ninarafiki yangu akikusimulia utaishia kucheka tu na ni mtu mwenye mjeda! Hahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…