Tetesi za Makamba kuwania uenyekiti wa AU na kuwaunga mkono Gen Z kimemponza kutimuliwa uwaziri?

Hiyo johnthebaptist, Kambaku, sysafiri
20240722_220848.jpg
 
Moja ya makosa makubwa aliyofanya January Makamba ni kutaka kuwania kuwa Mwenyekiti wa African Union huku akifahamu fika kuwa nafasi hiyo inawaniwa na Raila Odinga ambaye anaungwa mkono na Rais Ruto wa Kenya.

Itakumbukwa kuwa Rais Ruto alimshawishi Odinga kuwania nafasi hiyo ili kuimarisha utawala wake ambao unatishiwa na uwepo wa Odinga kama kiongozi wa upinzani. Aidha uwepo wa Odinga ni tishio kwa Rais Ruto katika uchaguzi Mkuu ujao wa 2027 hivyo kumlazimisha Ruto kumpigia Odinga kampeni katika nchi zote za Afrika ya Mashariki kumuunga mkono. Tanzania tayari iliwisha kubali kumuunga mkono Odinga katika adhma yake ya kuwa Mwenyekiti wa AU kwa hiyo kitendo cha Makamba kutaka kuwania nafasi hiyo kinaonyesha ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia.

Kosa la pili la Makamba ni kuwaunga mkono Gen Z katika harakati zao za kumng'oa Rais Ruto madarakani. Makamba alionyesha kuwaunga mkono Gen alipokwenda Jijini Nairobi kuweka jiwe la msingi katika jengo la kitega uchumi la Tanzania na kushangiliwa kwa vifijo na vijana waliokuwa wanaandamana.

Makamba mara nyingi amekuwa haridhiki na nafasi anazopewa na viongozi wake wakiwemo Magufuli na sasa Samia na kutaka kuwania urais wa nchi mwenyewe.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hivi umesahau yeye January Makamba na yule Maharage wa DSTV walivyotutesa sisi Watanzania kwa muda wa miaka miwili kwa sarakati zao walipokuwa pale Nishati?

Umeme ulikuwa wa magumashi, kuwe na mvua au ukame. Ujenzi wa bwawa la Nyerere Hydroelectric power ulibezwa na kuufanyia sarakasi ili usikamilike hadi 2026 or beyond. Na hata kama ungalikamilika, umeme wake wote ungaliuzwa Zambia ili kurejesha gharama ya ujenzi. Na walisema tusitegemee bei ya umeme kushuka baada ya mradi huo kukamilika bali itapanda maradufu au zaidi. Kwenye nishati ya mafuta nako ilikuwa balaa tupu. Hata pale bei ya mafuta hayo yalipokuwa yanashuka bei, sisi ilikuwa ni mwendo wa kupanda tu kila mwezi.

Watanzania kila kona walilalamika sana. Ilimchukua kipindi kirefu Mama kukubali kuwa matatizo hayo ya umeme na mafuta kwa kiasi kikubwa kilichangiwa na hao watu wawili. Akawaondoa pale Nishati na kumuweka Biteko. Ndani ya miezi mitatu tatizo hilo la umeme na mafuta Biteko akawa amelimaliza, kuthibitisha kuwa hao wawili ndiyo walikuwa tatizo kwenye utendaji wa hiyo wizara.
 
Moja ya makosa makubwa aliyofanya January Makamba ni kutaka kuwania kuwa Mwenyekiti wa African Union huku akifahamu fika kuwa nafasi hiyo inawaniwa na Raila Odinga ambaye anaungwa mkono na Rais Ruto wa Kenya.

Itakumbukwa kuwa Rais Ruto alimshawishi Odinga kuwania nafasi hiyo ili kuimarisha utawala wake ambao unatishiwa na uwepo wa Odinga kama kiongozi wa upinzani. Aidha uwepo wa Odinga ni tishio kwa Rais Ruto katika uchaguzi Mkuu ujao wa 2027 hivyo kumlazimisha Ruto kumpigia Odinga kampeni katika nchi zote za Afrika ya Mashariki kumuunga mkono. Tanzania tayari iliwisha kubali kumuunga mkono Odinga katika adhma yake ya kuwa Mwenyekiti wa AU kwa hiyo kitendo cha Makamba kutaka kuwania nafasi hiyo kinaonyesha ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia.

Kosa la pili la Makamba ni kuwaunga mkono Gen Z katika harakati zao za kumng'oa Rais Ruto madarakani. Makamba alionyesha kuwaunga mkono Gen alipokwenda Jijini Nairobi kuweka jiwe la msingi katika jengo la kitega uchumi la Tanzania na kushangiliwa kwa vifijo na vijana waliokuwa wanaandamana.

Makamba mara nyingi amekuwa haridhiki na nafasi anazopewa na viongozi wake wakiwemo Magufuli na sasa Samia na kutaka kuwania urais wa nchi mwenyewe.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Mama Samia alikwambia hiyo story lini? Maana unaandika kama vile wewe ndiyo mama Samia
 
Makamba huyu huyu aliyefutiwa matokeo ya fomfoo Galanos, TANGA. Au Kuna mwingine? Ukiandika jina la mtu andika na la Kati na la mwisho kuondoa ambiguity.
 
Moja ya makosa makubwa aliyofanya January Makamba ni kutaka kuwania kuwa Mwenyekiti wa African Union huku akifahamu fika kuwa nafasi hiyo inawaniwa na Raila Odinga ambaye anaungwa mkono na Rais Ruto wa Kenya.

Itakumbukwa kuwa Rais Ruto alimshawishi Odinga kuwania nafasi hiyo ili kuimarisha utawala wake ambao unatishiwa na uwepo wa Odinga kama kiongozi wa upinzani. Aidha uwepo wa Odinga ni tishio kwa Rais Ruto katika uchaguzi Mkuu ujao wa 2027 hivyo kumlazimisha Ruto kumpigia Odinga kampeni katika nchi zote za Afrika ya Mashariki kumuunga mkono. Tanzania tayari iliwisha kubali kumuunga mkono Odinga katika adhma yake ya kuwa Mwenyekiti wa AU kwa hiyo kitendo cha Makamba kutaka kuwania nafasi hiyo kinaonyesha ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia.

Kosa la pili la Makamba ni kuwaunga mkono Gen Z katika harakati zao za kumng'oa Rais Ruto madarakani. Makamba alionyesha kuwaunga mkono Gen alipokwenda Jijini Nairobi kuweka jiwe la msingi katika jengo la kitega uchumi la Tanzania na kushangiliwa kwa vifijo na vijana waliokuwa wanaandamana.

Makamba mara nyingi amekuwa haridhiki na nafasi anazopewa na viongozi wake wakiwemo Magufuli na sasa Samia na kutaka kuwania urais wa nchi mwenyewe.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Mmeanza kigogo!
 
Hakuna asiye mpigaji ndani ya serikali ya Samia, ukizingatia alikwisha waruhusu wale kwa urefu wa kamba zao!
Tafsiri potofu inayotokana na chuki. Kula kwa urefu wa kwamba ni kuishi kulingana na kipato halali anachopata mtu.

Ukilipwa shilingi milioni 10 kamba yako ina urefu wa milioni 10. Ukilipwa shilingi laki moja kamba yako ina urefu wa wa laki moja.
 
Sina habari kwamba Makamba alitaka kuwa Chairman wa AU.
Habari zile nadhani zilikuwa kwamba Makamba alikuwa anampigia debe Jakaya Kikwete awe Mkuu wa AU .
Na ilikuwaje kuhusu Mkuu wa AU. Ameshachaguliwa au bado?
 
Tafsiri potofu inayotokana na chuki. Kula kwa urefu wa kwamba ni kuishi kulingana na kipato halali anachopata mtu.

Ukilipwa shilingi milioni 10 kamba yako ina urefu wa milioni 10. Ukilipwa shilingi laki moja kamba yako ina urefu wa wa laki moja.
Usimlishe maneno Chura wa Kizimkazi! Alitamka anajua wanakula lakini akawaomba wale kwa urefu wa kamba zao! Kamba siyo kipato kuwa muelewa!
 
Makamba ana leadership qualities uwezi muondolea hiyo sifa na viji-vision vyake uchwara.

Tatizo lake kubwa ni kuamini ushauri wa marafiki zake kushinda wataalamu wa wizara na serikali kwenye njia sahihi za kufikia azma zake za kisera.

Pili hatambui kitu limitation matokeo yake kuna wasaa anakuwa overambitious kulazimisha vitu bila kufikiria madhara yake.

Makamba ndio una marafiki ambao ni successful ila wengi wao wamefika huko kwa bahati or privilege but not technical skills. Kufuata ushauri wa hao watu kushinda wataalamu wa serikali ndio utakaofanya usiaminike kwenye nafasi sensitive huko mbeleni.

Ushauri wa mtu kama Zitto kidogo Makamba agawe gas bure na hadithi zao local contents (these people are so shallow), $40 billion unajua inavyorudi au unasikia tu.

Wizarani na serikalini kuna vichwa ambavyo vimepitia succession planning next time ukipewa nafasi acha kusikiliza ujinga wa rafiki żako unao amini wana akili kushinda watu ndani ya serikali.
 
Back
Top Bottom