Byabato alikuwa naibu wake aliyeshughulikia Jumuiya ya Afrika Mashariki.Naibu hakutumbuliwa alijiuzulu mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Byabato alikuwa naibu wake aliyeshughulikia Jumuiya ya Afrika Mashariki.Naibu hakutumbuliwa alijiuzulu mwenyewe
Michezo na sanaaFA yupo wizara ya mawasiliano au michezo na sanaa?
Kweni hiyo taasisi ina zaidi ya kukaa Adiss na kukandwa kandwa na Vibinti vya Kihabeshi?AU inahitaji mtu wa mikiki mikiki! Raila Odinga amekwisha kuwa Mzee!
Raila Odinga anaweza kuisaidia DRC kupata amani ya kudumu!AU inahitaji mtu wa mikiki mikiki! Raila Odinga amekwisha kuwa Mzee!
Hivi umesahau yeye January Makamba na yule Maharage wa DSTV walivyotutesa sisi Watanzania kwa muda wa miaka miwili kwa sarakati zao walipokuwa pale Nishati?Moja ya makosa makubwa aliyofanya January Makamba ni kutaka kuwania kuwa Mwenyekiti wa African Union huku akifahamu fika kuwa nafasi hiyo inawaniwa na Raila Odinga ambaye anaungwa mkono na Rais Ruto wa Kenya.
Itakumbukwa kuwa Rais Ruto alimshawishi Odinga kuwania nafasi hiyo ili kuimarisha utawala wake ambao unatishiwa na uwepo wa Odinga kama kiongozi wa upinzani. Aidha uwepo wa Odinga ni tishio kwa Rais Ruto katika uchaguzi Mkuu ujao wa 2027 hivyo kumlazimisha Ruto kumpigia Odinga kampeni katika nchi zote za Afrika ya Mashariki kumuunga mkono. Tanzania tayari iliwisha kubali kumuunga mkono Odinga katika adhma yake ya kuwa Mwenyekiti wa AU kwa hiyo kitendo cha Makamba kutaka kuwania nafasi hiyo kinaonyesha ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia.
Kosa la pili la Makamba ni kuwaunga mkono Gen Z katika harakati zao za kumng'oa Rais Ruto madarakani. Makamba alionyesha kuwaunga mkono Gen alipokwenda Jijini Nairobi kuweka jiwe la msingi katika jengo la kitega uchumi la Tanzania na kushangiliwa kwa vifijo na vijana waliokuwa wanaandamana.
Makamba mara nyingi amekuwa haridhiki na nafasi anazopewa na viongozi wake wakiwemo Magufuli na sasa Samia na kutaka kuwania urais wa nchi mwenyewe.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Mama Samia alikwambia hiyo story lini? Maana unaandika kama vile wewe ndiyo mama SamiaMoja ya makosa makubwa aliyofanya January Makamba ni kutaka kuwania kuwa Mwenyekiti wa African Union huku akifahamu fika kuwa nafasi hiyo inawaniwa na Raila Odinga ambaye anaungwa mkono na Rais Ruto wa Kenya.
Itakumbukwa kuwa Rais Ruto alimshawishi Odinga kuwania nafasi hiyo ili kuimarisha utawala wake ambao unatishiwa na uwepo wa Odinga kama kiongozi wa upinzani. Aidha uwepo wa Odinga ni tishio kwa Rais Ruto katika uchaguzi Mkuu ujao wa 2027 hivyo kumlazimisha Ruto kumpigia Odinga kampeni katika nchi zote za Afrika ya Mashariki kumuunga mkono. Tanzania tayari iliwisha kubali kumuunga mkono Odinga katika adhma yake ya kuwa Mwenyekiti wa AU kwa hiyo kitendo cha Makamba kutaka kuwania nafasi hiyo kinaonyesha ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia.
Kosa la pili la Makamba ni kuwaunga mkono Gen Z katika harakati zao za kumng'oa Rais Ruto madarakani. Makamba alionyesha kuwaunga mkono Gen alipokwenda Jijini Nairobi kuweka jiwe la msingi katika jengo la kitega uchumi la Tanzania na kushangiliwa kwa vifijo na vijana waliokuwa wanaandamana.
Makamba mara nyingi amekuwa haridhiki na nafasi anazopewa na viongozi wake wakiwemo Magufuli na sasa Samia na kutaka kuwania urais wa nchi mwenyewe.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Mmeanza kigogo!Moja ya makosa makubwa aliyofanya January Makamba ni kutaka kuwania kuwa Mwenyekiti wa African Union huku akifahamu fika kuwa nafasi hiyo inawaniwa na Raila Odinga ambaye anaungwa mkono na Rais Ruto wa Kenya.
Itakumbukwa kuwa Rais Ruto alimshawishi Odinga kuwania nafasi hiyo ili kuimarisha utawala wake ambao unatishiwa na uwepo wa Odinga kama kiongozi wa upinzani. Aidha uwepo wa Odinga ni tishio kwa Rais Ruto katika uchaguzi Mkuu ujao wa 2027 hivyo kumlazimisha Ruto kumpigia Odinga kampeni katika nchi zote za Afrika ya Mashariki kumuunga mkono. Tanzania tayari iliwisha kubali kumuunga mkono Odinga katika adhma yake ya kuwa Mwenyekiti wa AU kwa hiyo kitendo cha Makamba kutaka kuwania nafasi hiyo kinaonyesha ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia.
Kosa la pili la Makamba ni kuwaunga mkono Gen Z katika harakati zao za kumng'oa Rais Ruto madarakani. Makamba alionyesha kuwaunga mkono Gen alipokwenda Jijini Nairobi kuweka jiwe la msingi katika jengo la kitega uchumi la Tanzania na kushangiliwa kwa vifijo na vijana waliokuwa wanaandamana.
Makamba mara nyingi amekuwa haridhiki na nafasi anazopewa na viongozi wake wakiwemo Magufuli na sasa Samia na kutaka kuwania urais wa nchi mwenyewe.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hii ipo so clear. Bila shaka alikuwa anapiga kuliko au sawa na SSH.Sababu ni moja tu iliyomfukuzisha kazi, UPIGAJI.
Samia nina uhakika hapigi, ni wasiwasi na chuki zetu zinazotushawishi vibaya kumhusu, ni masuala ya uzanzibari wake na uislam yanayotusumbua vichwani mwetu.Hii ipo so clear. Bila shaka alikuwa anapiga kuliko au sawa na SSH.
Mwigulu is next!
Tafsiri potofu inayotokana na chuki. Kula kwa urefu wa kwamba ni kuishi kulingana na kipato halali anachopata mtu.Hakuna asiye mpigaji ndani ya serikali ya Samia, ukizingatia alikwisha waruhusu wale kwa urefu wa kamba zao!
Usimlishe maneno Chura wa Kizimkazi! Alitamka anajua wanakula lakini akawaomba wale kwa urefu wa kamba zao! Kamba siyo kipato kuwa muelewa!Tafsiri potofu inayotokana na chuki. Kula kwa urefu wa kwamba ni kuishi kulingana na kipato halali anachopata mtu.
Ukilipwa shilingi milioni 10 kamba yako ina urefu wa milioni 10. Ukilipwa shilingi laki moja kamba yako ina urefu wa wa laki moja.
Uelewa wetu duni ni tatizo letu. Urefu wa kamba ni kile unachokipata kwa haki.Usimlishe maneno Chura wa Kizimkazi! Alitamka anajua wanakula lakini akawaomba wale kwa urefu wa kamba zao! Kamba siyo kipato kuwa muelewa!