wewe upo serious ama? kama ni kweli ni faraja kubwa kuona vijana wangu wa KIBAHA wamewakilisha vyema shule bora ya serikali...nipo hapa katika ukumbi na katibu ndo anatueleza hayo matokeo so nimeamua kuwapasha japo kidogo,asilimia 50.02 ya watahiniwa wamefaulu,shule za binafsi zang'ara na za vipaji maalumu..top ten ina shule za St.francis,Marian,Feza boys,st.Joseph Millenium,Abbey,St.Mary Goreth,Kandoto girls,Mzumbe,kibaha,Ilboru na wanafunzi bora ni Mary A . ndona(st.francis),rebecca nsingwe(marian),Joseph Ulapi(Mzumbe),Ismail Kandeya(Arusha day),Martin kaimbo(kibaha)..ntazid kuwajuza
Wana jf kama habari si ya kweli msiposti mtatuumbua wenzenu tushauza habari...
waliofaulu 54% kati yao ni 5% tu ya muslim waliofaulu.....
tatizo ni mimi kutoa taarifa ya uchakachuzi wa NECTA na dhuluma zao dhidi ya waislam au? teh teh teh!yaani jina lako na avata yako ni sawia na uwezo wako...kajinga fulani hivi...ninahakika kama ulifaulu form four ulipata four ya mwisho
tatizo ni mimi kutoa taarifa ya uchakachuzi wa NECTA na dhuluma zao dhidi ya waislam au? teh teh teh!
nilipata 4 form 4 kwasababu jina langu ni la kiislam, naitwa Dullah
NECTA ni mfumo kristo, wanachakachua majina ya kiislam..utaelemika liniiii..
yaani jina lako na avata yako ni sawia na uwezo wako...kajinga fulani hivi...ninahakika kama ulifaulu form four ulipata four ya mwisho
utaelemika liniiii..
Kweli kma yanatoka leo sbanduko himu labda umeme tu ukate 😀😀
2013 kivp tena?na ni redio gani?Watahiniwa Kaeni mkao wa kula sasa hivi necta wanayarusha mtandaoni
We acha tu! Great Thinkers tumeingiliwa2013 kivp tena?na ni redio gani?
We acha tu! Great Thinkers tumeingiliwa