Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
nipo hapa katika ukumbi na katibu ndo anatueleza hayo matokeo so nimeamua kuwapasha japo kidogo,asilimia 50.02 ya watahiniwa wamefaulu,shule za binafsi zang'ara na za vipaji maalumu..top ten ina shule za St.francis,Marian,Feza boys,st.Joseph Millenium,Abbey,St.Mary Goreth,Kandoto girls,Mzumbe,kibaha,Ilboru na wanafunzi bora ni Mary A . ndona(st.francis),rebecca nsingwe(marian),Joseph Ulapi(Mzumbe),Ismail Kandeya(Arusha day),Martin kaimbo(kibaha)..ntazid kuwajuza
wewe upo serious ama? kama ni kweli ni faraja kubwa kuona vijana wangu wa KIBAHA wamewakilisha vyema shule bora ya serikali...
 
Wana jf kama habari si ya kweli msiposti mtatuumbua wenzenu tushauza habari...
 
waliofaulu 54% kati yao ni 5% tu ya muslim waliofaulu.....

yaani jina lako na avata yako ni sawia na uwezo wako...kajinga fulani hivi...ninahakika kama ulifaulu form four ulipata four ya mwisho
 
yaani jina lako na avata yako ni sawia na uwezo wako...kajinga fulani hivi...ninahakika kama ulifaulu form four ulipata four ya mwisho
tatizo ni mimi kutoa taarifa ya uchakachuzi wa NECTA na dhuluma zao dhidi ya waislam au? teh teh teh!
nilipata 4 form 4 kwasababu jina langu ni la kiislam, naitwa Dullah
 
tatizo ni mimi kutoa taarifa ya uchakachuzi wa NECTA na dhuluma zao dhidi ya waislam au? teh teh teh!
nilipata 4 form 4 kwasababu jina langu ni la kiislam, naitwa Dullah

utaelemika liniiii..
 
Acheni stori za kidini necta hawaangalii dini wala sura ulichopanda mdicho utachovuna.
 
kwa mujibu wa wazir wa elimu kawambwa matokeo tayar anasema saa 1 jion ya leo atayatangaza kwa wale wa presha punguza sana wavulana waongoza kufaulu kama ulicheza viduku shule utajua mwenyewe matokeo mema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom