Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
nyie ndio vilaza wa kutupwa wa mwaka huu!!


2013 kivp tena?na ni redio gani?

2013 bado hata mtihan hawajafanya' typin errOr

We acha tu! Great Thinkers tumeingiliwa

kaka yani acha tu

Jamani siyo kosa lake amengia jana tu humu ndani, anataka kupost ujinga ujinga wake wa facebook kwanza, form iv 2013 hawajafanya mtihani bado

Matatizo kweli aisee, hadhi ya jf inashuka sasa, kwanza anadai yatangazwa redio, pili muda wowote yatawekwa mtandaoni, huyu ni...................maana hana hadhi ya ugreat thinker.

hao ndo ninaosema siku zote,wanafikiria kupitia a**ss zao badala ya kutumia ubongo,maudhi tu siku hizi,
 
Hahahahahahah
dogo umekosea njia hii ni sehemu ya kula bata tuu! hapa mambo ya stress hatutaki maana kama ulikuwa husomi matokeo hayatabadilika!

Mwl gfsonwin tafadhali njoo umuokoe kijana wako!
 
Last edited by a moderator:
Hivi watu mnaokuja humu na habari za uzushi mnapata faida gani?acheni ujinga maana jf ndiyo sehemu pekee iliyobaki ya kupatia habari muhimu ila watu kama ninyi mnaitia doa!
 
Ok sawa kama hakuna makosa kwenye uandishi wa habari yake, je chanzo cha taarifa yake ni Redio ipi ukumbuke hapa JF ni sehemu inayoaminika kwa kuhabarishana habari sahihi na kwa kina
 
NECTA ni ya wakatoriki
 
Ok sawa kama hakuna makosa kwenye uandishi wa habari yake, je chanzo cha taarifa yake ni Redio ipi ukumbuke hapa JF ni sehemu inayoaminika kwa kuhabarishana habari sahihi na kwa kina

great thinker hupewa bulletin tu!habari kamili na ya ukweli ni juu yako kutafuta
 
great thinker hupewa bulletin tu!habari kamili na ya ukweli ni juu yako kutafuta
Ni sawa sikatai hata hiyo bulletin lazima iwe inachanzo ambacho mtoa maada maeshindindwa kusema ni Radio ipi, ili itusaidie kufuatilia kwa kina
 
How comes kwamba haya matokeo yapo JF tu kwenye mtandao wa baraza wala wizara hayapo? What is going on here? Hebu tujuzeni nyie mliyepo baraza, ni kwa vipi matokeo yanatangazwa halafu kwenye mtandao hayapo?

Umeyaona yako wapi hapa JF?

Mtoto bado unatambaa wewe!!! Yaani unataka na kwenye baraza wakuwekee hiki kipande kilicholetwa hapa? Acha hizo Mkuu!!
 
mfumo kristo unatumaliza,
acha udaku wewe....mfumo kristo? kawambwa ni nani? kikwete na makamu wake ni nani? halafu msipenda laumu mfumo kristo wakati nyie mkalia madrasa badala ya kwenda tuition...nenda tuition acha kulaumu ukiibuka na 4 ama 0 ni yako...
 
Umeyaona yako wapi hapa JF?

Mtoto bado unatambaa wewe!!! Yaani unataka na kwenye baraza wakuwekee hiki kipande kilicholetwa hapa? Acha hizo Mkuu!!

Haya hapa.


Ninachouliza ni kwa vipi NECTA imeyaweka matokeo wazi kiasi cha kwamba watu wameweza hata kuyaleta hapa tangu asubuhi, lakini cha kushangaza kwenye mtandao wa NECTA hayapo? Ambacho hujaelewa wewe ni kipi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…