Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
By mgt software

yatatoka saa kumi jioni subiri kama ulipanda mchicha usitegemee mbuyu

Hili swala la kuweka na Muda ni hatari sana!!

Kuna mtoto hapa mtaani kwetu juzi aliambiwa na wenzake kuwa majibu yametoka; kilichotokea alidondoka na kupoteza fahamu na alipofikishwa hospitali aligundulika kuwa ana tatizo la PRESSURE ya kushuka. Lakini hana historia ya ugonjwa huo.

Inelekea matokeo haya yanaweza yakatoka na 'misiba' pia!!!
Kama haukusoma usitegemee miujiza ya Mwaisapile hapa jamvini. Msiba na matokeo wapi na wapi........

Wadau naomben link ya matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2010. Nataka kureview zero yangu. Nililate na maisha ya chuo mida hz!

Watahiniwa Kaeni mkao wa kula sasa hivi necta wanayarusha mtandaoni
we jamaaa acha kutuzingua watahiniwa wa 2013 watafanya mtihani october mwaka huu... kama vip fanya marekebisho ya kauli yako

Mfumo kristo unatuonea waislaam....wenye majina ya kikristo wanafaulu na sisi wenye majina ya kiislaam tunafelishwa.

What was the purpose of your post? kwa sababu kama ni taarifa zipo nyingi kama hizo so hakukuwa na haja nawe kuja the same topic

me nafikiri jf sio ya kujuana kidini na necta pia hawajui dini ya mtu,kama hukusoma unakesha kanisani au madrasa hilo ni lako na familia yako.Usiseme eti umefeli kisa muislam huo ni ujinga ambao hauna nafuu.

Watahiniwa Kaeni mkao wa kula sasa hivi necta wanayarusha mtandaoni

Siku nyingine usivute tena bangi, pia uache ugoro. Ukiendelea kunywa viroba utakakamaa kama mtu aliyepigwa shoti ya umeme. Hivyo vyote ni hatari kwa mustaabali wako. Uache umbea, jitahidi kuheshimu wakubwa ili usimwaibishe mama au baba yako. Uwaambie na wenzako ambao wamelezimishwa kuingia digitali

vp hal zenu humu, jaman matokeo yameshatoka au bado. Maana ukisearch google ukishuka had kwenye tetesi kuna new new new matokeo ya form four, alafu ukiingia hamna kitu

Haya hapa.

Ninachouliza ni kwa vipi NECTA imeyaweka matokeo wazi kiasi cha kwamba watu wameweza hata kuyaleta hapa tangu asubuhi, lakini cha kushangaza kwenye mtandao wa NECTA hayapo? Ambacho hujaelewa wewe ni kipi?

Hata mimi nimejikuta siku nzima nina adhabu ya kuchungulia website ya Necta nikitarajia kuona chochote lakini wapi?

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom