Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
pumbav wewe,mbulula mkubwa badala ya kusoma wewe ulikua unaenda madrasa utafaulu kvp???? Tena ucjiaibishe eti kisa we muislam ukapata 4. Hv? Rais na makam wake c waislam? Wazri wa elmu pia c muislam? Sasa mnaonewa vp?

Acha kwenda madrasa nenda tuition utafaulu upo hapo?


By zumbemkuu: tatizo ni mimi kutoa taarifa ya
uchakachuzi wa NECTA na dhuluma
zao dhidi ya waislam au? teh teh
teh!
nilipata 4 form 4 kwasababu jina
langu ni la kiislam, naitwa Dullah

pumbav wewe,mbulula mkubwa
badala ya kusoma wewe ulikua
unaenda madrasa utafaulu kvp????
Tena ucjiaibishe eti kisa we muislam
ukapata 4. Hv? Rais na makam wake
c waislam? Wazri wa elmu pia c muislam? Sasa mnaonewa vp? Acha kwenda madrasa nenda tuition
utafaulu upo hapo?

Na viongozia wao wa CCM ni waislam;
01. Kikwete - Muislam
02. Shein - Muislam
03. Kinana - Muislam
04. Nape - Muislam
05. Mwigulu - Muislam
06. S. Khatibu - Muislam
07. Meghji - Muislam
08. Asha Migiro-Muislam
 

Haya hapa.


Ninachouliza ni kwa vipi NECTA imeyaweka matokeo wazi kiasi cha kwamba watu wameweza hata kuyaleta hapa tangu asubuhi, lakini cha kushangaza kwenye mtandao wa NECTA hayapo? Ambacho hujaelewa wewe ni kipi?


Hayo ndo matokeo Mkuu? Acha uzushi wewe! Una kichwa cha kufugia nywele kama cha Werema nini?
 
yatatoka saa kumi jioni subiri kama ulipanda mchicha usitegemee mbuyu

Hili swala la kuweka na Muda ni hatari sana!!
Kuna mtoto hapa mtaani kwetu juzi aliambiwa na wenzake kuwa majibu yametoka; kilichotokea alidondoka na kupoteza fahamu na alipofikishwa hospitali aligundulika kuwa ana tatizo la PRESSURE ya kushuka. Lakini hana historia ya ugonjwa huo.
Inelekea matokeo haya yanaweza yakatoka na 'misiba' pia!!!
 
Watahiniwa Kaeni mkao wa kula sasa hivi necta wanayarusha mtandaoni

hebu jaribuni kuwa wabunifu na msitake kutyafuta umaharufu kwa njia hii ! Mbona eading yako na ulichokiandika havina uhusiano ?
 
Hayo ndo matokeo Mkuu? Acha uzushi wewe! Una kichwa cha kufugia nywele kama cha Werema nini?
Wee dogo tuheshimiane! Hivi unajua maana ya matokeo wewe? Kama hujui nenda kawaulize wenzako, usiniletee utotoutoto wako hapa!
Kama hayo siyo matokeo sasa baraza linayataja yanini? Kwanini listangaze tu idadi ya div one na div two? Mmemaliza form four juzi, mnataka kujifanya wajuaji. Unikome!
 
habar iliyokamilika huwa na source je habari hi source yake iko wap? kuni ya akiba huicheke inayoungua jikoni
 
Amna kitu wanawapagawisha watu bure...kueni makini na ufatiliaji wa iz..

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hao ndo ninaosema siku zote,wanafikiria kupitia a**ss zao badala ya kutumia ubongo,maudhi tu siku hizi,

Elewa maelezo kwanza ndio uchangie,kumbe ndio mana hata kwenye mitihani mnafeli kwa kuwa mnavamia maswali bila kuyaelewa!
 
watahiniwa kaeni mkao wa kula sasa hivi necta wanayarusha mtandaoni
mods kama matokeo yasipowekwa mtandaoni mpaka kesho na kama atashindwa kuthibitisha ni radio gani wanatangaza...mpeni haki yake aende jela hata kama ni mgeni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom