CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
usiwe na akili fupi matokeo sio ya wanaoenda form five tuu
Hivi siku hizi huwa kuna vyuo vya form 4? Nijuavyo ni kuwa baada ya form 4 ni form 5! Nijuvye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiwe na akili fupi matokeo sio ya wanaoenda form five tuu
Hivi siku hizi huwa kuna vyuo vya form 4? Nijuavyo ni kuwa baada ya form 4 ni form 5! Nijuvye
Sijasomea hapa Tz, kwa hiyo we nijibu!Sio kosa lako ila ni kosa la elimu uliyopata ambayo haina mitaala.
Sijasomea hapa Tz, kwa hiyo we nijibu!
Matokeo mpaka Sheikh Yahaya atabiri huko aliko
Kitu kipo hewani
Nchi bila maandamano haiendi.
IFM waliandamana kwa kukosa ulinzi.
Sasa ivi wanalindwa mpaka wanapokuwa wanafanya ufuska.
Na nyie andamaneni matokeo yatangazwe.
Somehow ît í$ gøøð ìlæ upole glú$tlý