Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Mods, Watu kama hawa wana tarnish image na reputation ya Jamii Forums. Siku zote JF imekuwa chanzo cha habari cha kuaminika. Kuruhusu watu kama hawa waendelee kuuhadaa umma wa wana JF utaishushia hadhi JF na kuonekana kama kijiwe kisicho na mwenyewe! Hili halikubaliki...Mtu anakaa chini na kutunga uwongo mkubwa namna hii halafu anaachwa tu? Tena kwenye Jukwaa la Elimu?

Wakuu Invisible, Paw na Mods wengineo tafadhali wote walioleta utapeli huu na kuleta usumbufu kwa mamilioni ya wazazi, watahiniwa, walezi na wadau wengine wa elimu wapigwe ban ya kueleweka!

Naomba kutoa hoja.


SPEAKER: Sasa nitawahoji. Wanaoikubali hoja ya Mh. Mkirua waseme ..NDIO" ( watu NDIOOOOOOOOOOO) na wanaoikataa hoja hii waseme "SIO" (watu -sioo)

SPEAKER: Bila shaka waliosema NDIO wameshinda.

HOJA IMEPITA
 
matokeo yatatoka tu na kila mtahiniwa atavuna alichopanda
 
Siku Hiz Kila Ki2 Ni Utata! Hadi Dk Hii Matokeo Kidato Cha 4 Bado,ajira Za Walimu Hali Ni Tete,mikopo Ya Kielimu Lundo La Watu Wamekosa,mifumo Mingi Wizara Ya Elimu Inabadilishwa Kla Kkicha, Teknoljia Inapanda Sisi Utata Unazd! Serkal Ina2pa Taswira Gani?
 
acheni ujinga hum sio fbook kwa watu wote bali kwa wasomi na ndo mana pakaitwa education forum...

So mcpost vtu vya kipuuzi ukaonekana mpumbavu wa akili..
Hongereni mnaojitambua wooooote mana hamtokumbushwa wajib wen all the best to form fours.........."""!!!!
 
Mkulima mzuri na alie bora siku zote ana uhakika na mbegu alizopandikiza shamban mwake kwan ikifikia wakat wa mavuno huwa mtuliv ila asie bora siku zote huwa na wasi wasi kama huyu aliehitimu kidato cha nne mwez oct.2012...
 
Hv mnaoongelea matokeo mmekoswa la kufanya?,dah!,inakera xana waungwana.make mnachokiongea ni full pumba tu.
 
jamani sikilizeni matokeo bado na yakiwa tayar mtajulishwa kwanza kupitia vyombo vya habari harafu yataingizwa mtandaoni hizo habari za sasa za magazetin achaneni nazo vilevile yule mtu alie bun facebook page ya NECTA na kutangaza matokeo ni muongo.
 
To all the form fours out there who r expecting to see there results a few days maybe weeks to come have hope in your selves and courage to see the results. wishin you all HAPPY results day :israel:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom