bora umenisaidia kumwambia...maana ana mgando wa mawazo
mpuuzi wewe subiri matokeo yatoke tuone nani ana mawazo mugando kati yako na mimi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora umenisaidia kumwambia...maana ana mgando wa mawazo
Mods, Watu kama hawa wana tarnish image na reputation ya Jamii Forums. Siku zote JF imekuwa chanzo cha habari cha kuaminika. Kuruhusu watu kama hawa waendelee kuuhadaa umma wa wana JF utaishushia hadhi JF na kuonekana kama kijiwe kisicho na mwenyewe! Hili halikubaliki...Mtu anakaa chini na kutunga uwongo mkubwa namna hii halafu anaachwa tu? Tena kwenye Jukwaa la Elimu?
Wakuu Invisible, Paw na Mods wengineo tafadhali wote walioleta utapeli huu na kuleta usumbufu kwa mamilioni ya wazazi, watahiniwa, walezi na wadau wengine wa elimu wapigwe ban ya kueleweka!
Naomba kutoa hoja.
Hivi siku hizi huwa kuna vyuo vya form 4? Nijuavyo ni kuwa baada ya form 4 ni form 5! Nijuvye
Sijasomea hapa Tz, kwa hiyo we nijibu!