jaman hayo matokeo ni
kwamba kuna pages zimepotea ndo wanatafuta au kuna tatizo gani kwa
sababu yamesha tuchosha kusubiri kama yamemalizika mapema kusahihishwa
kwann wasi yatoe sasa tanzania kila kitu rough,,,
lakini haukulazimishwa kusoma wala kuchangia hii thread,uliweza kukaa kimya na kufanya mambo mengine unayona ya maana kwako na utuache sisi na hayo matokeo kwani ndo ya maana kwetu.yameshatoka ingia facebook.com mtayakuta huku c kwa watoto wa o'level
Mmh! Subira nyingi inaumiza tumbo jamani. Wafanye wayatoe tena
Hivi hii serekali ina mpango gani kuhusu matokeo yetu?. Watuambie bana hata kama tumeboroga lakini ni yetu tujue tunafanya nini. leo ni wiki imeisha tangu form six waanze mitihani sasa inakuaje?
Andamana basi.
Poleni, ni kweli kama mtu umefanya mtihani na matokeo yakachukua muda mrefu bila kutangazwa inaumiza. Hata hivyo kuweni wavumilivu!
Mipango ipo mbioni kuhakikisha kuwa matokeo yanatolewa haraka iwezekanavyo. Tunawaomba wale wote ambao wanayasubiri wawe na moyo wa subirasaawa, but wangetuwekea tujue tunaenda wapi au tunafanya nini?
Mipango ipo mbioni kuhakikisha kuwa matokeo yanatolewa haraka iwezekanavyo. Tunawaomba wale wote ambao wanayasubiri wawe na moyo wa subira
Mmeambiwa form five ni hadi mwezi wa saba sasa haraka ya nini?
Mmeambiwa form five ni hadi mwezi wa saba sasa haraka ya nini?