Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Hivi hii serikali ina mpango gani kuhusu matokeo yetu?. Watuambie bana hata kama tumeboroga lakini ni yetu tujue tunafanya nini. leo ni wiki imeisha tangu form six waanze mitihani sasa inakuaje?

sisomi tena post zako kumbe wewe form 4.
 
Hivi hii serikali ina mpango gani kuhusu matokeo yetu?. Watuambie bana hata kama tumeboroga lakini ni yetu tujue tunafanya nini. leo ni wiki imeisha tangu form six waanze mitihani sasa inakuaje?
Poleni sana, Tatizo government ni dhaifu haina mfumo mzuri wa kiutendaji na ndiyo tatizo la kuingiza siasa kwenye utendaji.
 
du! Ndo maana jf post nyingi zisizo na maana kumbe mbaka wanafunzi wa form four wapo? Si umewasikia wenyewe wanataka matokeo yao

ndîo nyie mnaoleta ukiritimba kwenye nchi hii. Unakuta m2 mzee anang'ang'ania kazi acha na vijana wafanyeyao na pia akili yako finyu sana mkuu
 
nahisi humu jf kuna mbaka darasa la saba km form 4 wapo na wenyewe wapo.
 
Pole sana mkuu..hii ndio serikali yako sikivu....huwezi jua labda bado wanayapika pika hapa na pale si unajua tena.....
 
du! Ndo maana jf post nyingi zisizo na maana kumbe mbaka wanafunzi wa form four wapo? Si umewasikia wenyewe wanataka matokeo yao

Mkuu wewe uliwahi kufika hata hiyo form 4? Tatizo liko wapi, kwani jf ni kwa ajili yenu wauza chenji tu. Acha madogo wajifunze. Kizazi cha dotcom hiki.
 
wory ouT dogoo.....at de end of de month ....tokeoo must be reveal in Light xo cooooL down like frozen iceee usije ukawa ndo wale wa ''earth as sphereee.''.....
 
Kupata matokeo na kwenda form five ni vitu viwili tofauti.Sio wote wanaosubiri matokeo wanampango wa kwenda form five.
Mpango kazi wa wizara unapaswa kuonyesha exact date ya release results siyo kubahatisha.Ni udhaifu mkubwa sana
 
ubabaishaji wa viongoz wetu wa ki tz unatucost kila mtu anaangalia maslai yake na familia yake so ifike mahali waangalie uma unataka nn na wao wanafanya nn
 
Utaratibu umebadilika kuhusu RESITTERS. WATAKAO ZUNGUSHA WATAFANYA MTIHANI wa CSEE mwakani na si mwaka huu tena,ili wapate muda wa kutosha kwa MAANDALIZI KABLA YA KURUDIA MTIHAN HUO MPO HAPO! ndo maana WANACHELEWA KUTOA MATOKEO ILI MUDA WA KUJISAJILI UPITE.
 
ndîo nyie mnaoleta ukiritimba kwenye nchi hii. Unakuta m2 mzee anang'ang'ania kazi acha na vijana wafanyeyao na pia akili yako finyu sana mkuu
Vijana wenyewe nyie msio na uvumilivu nani awaamini!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom