Hivi hii serikali ina mpango gani kuhusu matokeo yetu?. Watuambie bana hata kama tumeboroga lakini ni yetu tujue tunafanya nini. leo ni wiki imeisha tangu form six waanze mitihani sasa inakuaje?
sisomi tena post zako kumbe wewe form 4.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii serikali ina mpango gani kuhusu matokeo yetu?. Watuambie bana hata kama tumeboroga lakini ni yetu tujue tunafanya nini. leo ni wiki imeisha tangu form six waanze mitihani sasa inakuaje?
Poleni sana, Tatizo government ni dhaifu haina mfumo mzuri wa kiutendaji na ndiyo tatizo la kuingiza siasa kwenye utendaji.Hivi hii serikali ina mpango gani kuhusu matokeo yetu?. Watuambie bana hata kama tumeboroga lakini ni yetu tujue tunafanya nini. leo ni wiki imeisha tangu form six waanze mitihani sasa inakuaje?
du! Ndo maana jf post nyingi zisizo na maana kumbe mbaka wanafunzi wa form four wapo? Si umewasikia wenyewe wanataka matokeo yao
nahisi humu jf kuna mbaka darasa la saba km form 4 wapo na wenyewe wapo.
skiliza mkuu kamaniajeaje we jitoe tu katafute ya wazee kiroho safiiiiiiiiiiiiiiiiii
du! Ndo maana jf post nyingi zisizo na maana kumbe mbaka wanafunzi wa form four wapo? Si umewasikia wenyewe wanataka matokeo yao
Imefika wakati wana jf kujulikana elimu zao
ha ha ha ha ha! Mkuu kwan watu wakiulizia matokeo yao kuna ubaya gani?
duuuuuuuuuuuu....Ndugu wakigOmbana ww Shika Jembe uKalime.
Vijana wenyewe nyie msio na uvumilivu nani awaamini!ndîo nyie mnaoleta ukiritimba kwenye nchi hii. Unakuta m2 mzee anang'ang'ania kazi acha na vijana wafanyeyao na pia akili yako finyu sana mkuu