Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Nyie makinda wa O-level jukwaa hili sio saizi yenu,hamjapata hata mwelekeo wa maisha yenu mnakomaa na Jf usiku kucha.
Ndiyo maana mnaboronga hata ktk mitihani yenu.looh yaani O-level unashupaza shingo yako kwenye jukwaa la G'thinker,
nyambafu
Someni acheni upuuzi
 

nani aliekwambia tunaboronga
 
tuache dharau jamani:nimekataa.........HAKI SAWA KWA KILA MTANZANIA!:A S-frusty:
 
Mimi nimeanza kushtuka, yaelekea makinda mengi sana jf

:nono:NI YA KILA AWEZAYE KUSOMA NA KU TYPE NA ANAUELEWA..........WANGEKUA HAWARUHUSIWI ADMINISTRATOR SI ANGE WABLOCK:A S 39:? HII NDIO MAANA YA MTANDAO WA KIJAMII.:typing:
 
NECTA toka wastukiwe upendeleo wao imezuwa mzozo mkubwa mule ndani. Kuna madudu mengi sana inabidi yasafishwe na yafichwe, la sivyo wanaojidhania kuwa ndiyo wenye haki pekee ya nchi hii wataumbuka vibaya sana.
 
NECTA toka wastukiwe upendeleo wao imezuwa mzozo mkubwa mule ndani. Kuna madudu mengi sana inabidi yasafishwe na yafichwe, la sivyo wanajidhania kuwa ndiyo wenye haki pekee ya nchi hii wataumbuka vibaya sana.

how mkuu?
 
nyie watoto mnatuharibia jukwaa ipo siku darasa la nne na wenyewe watakuja kudai matokeo yao huku. Nyie nendene kwenye facebook huku mtuachie baba zenu.
 
nyie watoto mnatuharibia jukwaa ipo siku darasa la nne na wenyewe watakuja kudai matokeo yao huku. Nyie nendene kwenye facebook huku mtuachie baba zenu.

Hicho ndio kizazi cha leo(homodigital) ni globalizatîon imetawala napia na conclude kwa kuseme hii ni social network
 
Hivi hii serikali ina mpango gani kuhusu matokeo yetu?. Watuambie bana hata kama tumeboroga lakini ni yetu tujue tunafanya nini. leo ni wiki imeisha tangu form six waanze mitihani sasa inakuaje?

mara myingi wanaoliliaga matokeo ndo huwa wanakuwa wameharibu (dont take me seriously, just kiddn) tokeo jtatu mdogo angu so subiliaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…