Aziz Ituka
Member
- Feb 9, 2013
- 32
- 2
Vijana wenyewe nyie msio na uvumilivu nani awaamini!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wananchi wa sehemu uliotoka mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wenyewe nyie msio na uvumilivu nani awaamini!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nyie makinda wa O-level jukwaa hili sio saizi yenu,hamjapata hata mwelekeo wa maisha yenu mnakomaa na Jf usiku kucha.
Ndiyo maana mnaboronga hata ktk mitihani yenu.looh yaani O-level unashupaza shingo yako kwenye jukwaa la G'thinker,
nyambafu
Someni acheni upuuzi
nani aliekwambia tunaboronga
Mimi nimeanza kushtuka, yaelekea makinda mengi sana jf
Imefika wakati wana jf kujulikana elimu zao
MWAMBIE HUYOOOO! GREAT THINKER GANI HAWEZI KUHESHIMU HOJA ZA WADOGO ZAKE?:nimekataa
NECTA toka wastukiwe upendeleo wao imezuwa mzozo mkubwa mule ndani. Kuna madudu mengi sana inabidi yasafishwe na yafichwe, la sivyo wanajidhania kuwa ndiyo wenye haki pekee ya nchi hii wataumbuka vibaya sana.
we mburula acha kuzingua madogo kwa elimu ya darasa la 4 la mkoloniskiliza mkuu kamaniajeaje we jitoe tu katafute ya wazee kiroho safiiiiiiiiiiiiiiiiii
we mburula acha kuzingua madogo kwa elimu ya darasa la 4 la mkoloni
nyie watoto mnatuharibia jukwaa ipo siku darasa la nne na wenyewe watakuja kudai matokeo yao huku. Nyie nendene kwenye facebook huku mtuachie baba zenu.
how mkuu?
Hujasikia? Duhh.
Kazi yao kubwa ilikuwa kuchakachuwa matokeo ya wanafunzi wa Kiislaam waonekane wamefeli.
wana jf lini hayo matokeo ya 4m 4 aisee........................... nipeni muongozo wakubwa
Hivi hii serikali ina mpango gani kuhusu matokeo yetu?. Watuambie bana hata kama tumeboroga lakini ni yetu tujue tunafanya nini. leo ni wiki imeisha tangu form six waanze mitihani sasa inakuaje?