Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Mimi naishanga hii nchi yetu kwani kila kitu wanaingiza siasa.Kama hawataki kutoa matokeo waseme na sio kusubiri maandamano ya wanafunzi.
 
Nyie makinda wa O-level jukwaa hili sio saizi yenu,hamjapata hata mwelekeo wa maisha yenu mnakomaa na Jf usiku kucha.
Ndiyo maana mnaboronga hata ktk mitihani yenu.looh yaani O-level unashupaza shingo yako kwenye jukwaa la G'thinker,
nyambafu
Someni acheni upuuzi

Mimi nilijua great thinker ndio anaongea vitu vya msingi kumbe pumba tu.pole sana bro ila nawe ulipita huko kwa makinda.
 
Kujisifu kwing weka tokeo lako hapa
 
Kujisifu kwing weka tokeo lako hapa

Shortly niko UDSM 3rd year na nina GPA ya 4.2 kwa sasa,A-level nimesomea pale Milambo High School ilyopo Tabora na nikapata Division 2 ya 10.
Nadhani umenipata.
 
Mimi nilijua great thinker ndio anaongea vitu vya msingi kumbe pumba tu.pole sana bro ila nawe ulipita huko kwa makinda.

Hah.haah.haaah!ukweli unauma,pole kwa kuishia STD7.Hata hvyo jipe moyo utashnda.
 
Ndugu zangu si kawaida ya serikali kuchelewesha matokeo kiasi hiki inampango gani na huyu mtoto alie hitimu kidato cha nne toka mwaka jana october. hajafanya lolote la maana amekaa akisubiri matokeo ni kwanini acheleweshewe kiasi hiki?
 
Wapeni muda labda wanaikamilisha hizo kazi,labda wafanyakazi wa wizara hio nao hawajalipwa posho zao
 
Shortly niko UDSM 3rd year na nina GPA ya 4.2 kwa sasa,A-level nimesomea pale Milambo High School ilyopo Tabora na nikapata Division 2 ya 10.
Nadhani umenipata.

hukutegemea kufika hapo nini? Mbona kawaida sana mkuu 2.10? Ucrudie kujiweka juu ukiwa kwenye umati wa watu.
 
NECTA toka wastukiwe upendeleo wao imezuwa mzozo mkubwa mule ndani. Kuna madudu mengi sana inabidi yasafishwe na yafichwe, la sivyo wanaojidhania kuwa ndiyo wenye haki pekee ya nchi hii wataumbuka vibaya sana.

zomba kuna ile kamati yao inaitwa 'KAMATI YA KUTUNUKU'
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu si kawaida ya serikali kuchelewesha matokeo kiasi hiki inampango gani na huyu mtoto alie hitimu kidato cha nne toka mwaka jana october. hajafanya lolote la maana amekaa akisubiri matokeo ni kwanini acheleweshewe kiasi hiki?

himida mwaka huu wanafunz wanaingia shule may,na necta walisema kwa mujibu wa ratiba yao wao watatoa matokeo mwezi huu,sasa nakuuliza mwezi huu UMEISHA?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom