Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
AhahahahahYanga wanapandikiziwa moyo wa nguruwe endapo tetesi zitakuwa za kweli.
Mbona kwenye CAF Champions League kwenye Jezi ya Simba kuna Logo ya CAF ambayo ina rangi ya njano na kijani na Simba hawajawahi kugomea. Kwa hiyo hata kwa Yanga haitakuwa tatizo.Inasemekana kuwa Kabla ya Ligi kuanza shirikisho la soka Tanzania TFF, watasaini makataba wa udhamini wa ligi, na kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania ya vodacom.
Inaelezwa kati ya mashariti waliyotoa kwa TFF ni nembo yao kuto kubadilishwa rangi, ikiwa Tff wataridhia kila timu inayoshiriki ligi kuu itavaa jezi yenye nembo ya vodacom yenye rangi nyekundu.
Ikumbukwe yanga waliwahi kugoma kuvaa jezi zenye nembo nyekundu wakidai rangi hiyo haiwezi kukaa kwenye jezi zao, jambo lililolazimu kubadilisha rangi ya nembo na kuwa njano au nyeusi kwenye jezi zao, lkn kwa msimu huu vodacom wanataka rangi yao isibadilike.
Yanga huwa wanacheza tuu.....migomo yao huwa ni ishara ya kutopevuka. Hiv CAF wangekuwa na rangi nyekundu kwenye logo yao...YANGA wangegoma??????? Kuna vtu vinashangaza kwa kweli.....Yanga wanapandikiziwa moyo wa nguruwe endapo tetesi zitakuwa za kweli.
Inasemekana kuwa Kabla ya Ligi kuanza shirikisho la soka Tanzania TFF, watasaini makataba wa udhamini wa ligi, na kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania ya vodacom.
Inaelezwa kati ya mashariti waliyotoa kwa TFF ni nembo yao kuto kubadilishwa rangi, ikiwa Tff wataridhia kila timu inayoshiriki ligi kuu itavaa jezi yenye nembo ya vodacom yenye rangi nyekundu.
Ikumbukwe yanga waliwahi kugoma kuvaa jezi zenye nembo nyekundu wakidai rangi hiyo haiwezi kukaa kwenye jezi zao, jambo lililolazimu kubadilisha rangi ya nembo na kuwa njano au nyeusi kwenye jezi zao, lkn kwa msimu huu vodacom wanataka rangi yao isibadilike.
23 August 2019Kwani Ligi inaanza lini?
Yanga wamedeka.....Ni ushamba uliopitiliza kabsa. Yanga waliwahikugomea pesa za ufadhili za Azam wakigomea kuwa ni ndogo wakat wa Manji, leo zile zile million 100 wanapiga magoti kuzichukua. Ni siasa za hovyo za mpira....Kama kuna klabu itakayokataa baasi, Vodacom wasijihusishe nao na pesa wanyimwe.Mimi ni shabiki wa Yanga kindakindaki. Sioni umuhimu wa kubadilisha rangi za Vodacom kuwa nyeusi au njano
. Ile ni business. Zantel wakidhamini ligi Simba nao waombe rangi za zantel ziwe nyekundu!!! Nini maana ya brand?
Hadi GSM nao wakaamua kubadili rangi ya logo yao. [emoji23]Mbona kwenye CAF Champions League kwenye Jezi ya Simba kuna Logo ya CAF ambayo ina rangi ya njano na kijani na Simba hawajawahi kugomea. Kwa hiyo hata kwa Yanga haitakuwa tatizo.
Ahahahah watu wa Jangwani wanamatatizo sanaYanga wamedeka.....Ni ushamba uliopitiliza kabsa. Yanga waliwahikugomea pesa za ufadhili za Azam wakigomea kuwa ni ndogo wakat wa Manji, leo zile zile million 100 wanapiga magoti kuzichukua. Ni siasa za hovyo za mpira....Kama kuna klabu itakayokataa baasi, Vodacom wasijihusishe nao na pesa wanyimwe.
Yanga wana mambo ya kitoto sanaa.....Mambo ya hovyo. Not matured enough!!Hadi GSM nao wakaamua kubadili rangi ya logo yao. [emoji23]
ilikua enzi zile ndiyo waligomea, sidhan saivi kama bado wana mambo ya kishambaMbona kwenye CAF Champions League kwenye Jezi ya Simba kuna Logo ya CAF ambayo ina rangi ya njano na kijani na Simba hawajawahi kugomea. Kwa hiyo hata kwa Yanga haitakuwa tatizo.
Mkuu akili za Yanga wanazijua wenyewe wamekaa kichawi chawi sana... Hapo watamsikiliza mganga waoMbona kwenye CAF Champions League kwenye Jezi ya Simba kuna Logo ya CAF ambayo ina rangi ya njano na kijani na Simba hawajawahi kugomea. Kwa hiyo hata kwa Yanga haitakuwa tatizo.
Mmedeka na hamjitambui!!Yanga hatutakubali kuvaa jezi yenye rangi nyekundu, hiyo rangi ni ya LAANA