Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
Inasemekana kuwa Kabla ya Ligi kuanza shirikisho la soka Tanzania TFF, watasaini makataba wa udhamini wa ligi, na kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania ya vodacom.
Inaelezwa kati ya mashariti waliyotoa kwa TFF ni nembo yao kuto kubadilishwa rangi, ikiwa Tff wataridhia kila timu inayoshiriki ligi kuu itavaa jezi yenye nembo ya vodacom yenye rangi nyekundu.
Ikumbukwe yanga waliwahi kugoma kuvaa jezi zenye nembo nyekundu wakidai rangi hiyo haiwezi kukaa kwenye jezi zao, jambo lililolazimu kubadilisha rangi ya nembo na kuwa njano au nyeusi kwenye jezi zao, lkn kwa msimu huu vodacom wanataka rangi yao isibadilike.