Tetesi za mdhamini wa Ligi Kuu Tanzania

Tetesi za mdhamini wa Ligi Kuu Tanzania

Rashford Lingard

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2018
Posts
938
Reaction score
1,150
Inasemekana kuwa Kabla ya Ligi kuanza shirikisho la soka Tanzania TFF, watasaini makataba wa udhamini wa ligi, na kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania ya vodacom.

Inaelezwa kati ya mashariti waliyotoa kwa TFF ni nembo yao kuto kubadilishwa rangi, ikiwa Tff wataridhia kila timu inayoshiriki ligi kuu itavaa jezi yenye nembo ya vodacom yenye rangi nyekundu.

Ikumbukwe yanga waliwahi kugoma kuvaa jezi zenye nembo nyekundu wakidai rangi hiyo haiwezi kukaa kwenye jezi zao, jambo lililolazimu kubadilisha rangi ya nembo na kuwa njano au nyeusi kwenye jezi zao, lkn kwa msimu huu vodacom wanataka rangi yao isibadilike.
 
Mbona kwenye CAF Champions League kwenye Jezi ya Simba kuna Logo ya CAF ambayo ina rangi ya njano na kijani na Simba hawajawahi kugomea. Kwa hiyo hata kwa Yanga haitakuwa tatizo.
 
Mimi ni shabiki wa Yanga kindakindaki. Sioni umuhimu wa kubadilisha rangi za Vodacom kuwa nyeusi au njano
. Ile ni business. Zantel wakidhamini ligi Simba nao waombe rangi za zantel ziwe nyekundu!!! Nini maana ya brand?

Yanga wamedeka.....Ni ushamba uliopitiliza kabsa. Yanga waliwahikugomea pesa za ufadhili za Azam wakigomea kuwa ni ndogo wakat wa Manji, leo zile zile million 100 wanapiga magoti kuzichukua. Ni siasa za hovyo za mpira....Kama kuna klabu itakayokataa baasi, Vodacom wasijihusishe nao na pesa wanyimwe.
 
Mbona kwenye CAF Champions League kwenye Jezi ya Simba kuna Logo ya CAF ambayo ina rangi ya njano na kijani na Simba hawajawahi kugomea. Kwa hiyo hata kwa Yanga haitakuwa tatizo.
Hadi GSM nao wakaamua kubadili rangi ya logo yao. [emoji23]
 
Yanga wamedeka.....Ni ushamba uliopitiliza kabsa. Yanga waliwahikugomea pesa za ufadhili za Azam wakigomea kuwa ni ndogo wakat wa Manji, leo zile zile million 100 wanapiga magoti kuzichukua. Ni siasa za hovyo za mpira....Kama kuna klabu itakayokataa baasi, Vodacom wasijihusishe nao na pesa wanyimwe.
Ahahahah watu wa Jangwani wanamatatizo sana
 
Mbona kwenye CAF Champions League kwenye Jezi ya Simba kuna Logo ya CAF ambayo ina rangi ya njano na kijani na Simba hawajawahi kugomea. Kwa hiyo hata kwa Yanga haitakuwa tatizo.
ilikua enzi zile ndiyo waligomea, sidhan saivi kama bado wana mambo ya kishamba
 
Back
Top Bottom