Tetesi: Za ndani kabisa mkuu wa PGO muda wowote kulikwa Kadi nyekundu akifuatiwa na namba tatu katika tasnia hiyohiyo

Walimhakikishia ushahidi wa kutosha upo na Mbowe sasa hivi hachomoki.

IMG_20220305_073032_979.jpg
 
Mpare kule kwao tayari ashakua ceremonial, jamaa wa kyabakari kashashauliwa sana amwage daruga hasikii....wote hao soon wanaanza tembelea magari binafsi
ChURA 😊
 
Hivi Kumbe

Rais Wetu Ni Far East na
Makamu Wa Rais ni Far West
 
Uliona ile clip ya huyo boss wa PGO akifanyiwa "zindiko kali" na waganga mahiri wa Gambosh pale Kilwa Road akiwa na Mwendazake? Sasa hizo tunguri zimeyeyuka au?

Halafu alimdanganya mama, maskini, akamwamini. Akamhakikishia kwamba ushahidi mzito wa ugaidi wa Mbowe upo na mmoja wa magaidi keshafungwa. Mama akatamka hivyo akihojiwa na BBC. Ningekuwa mimi nina hicho cheo cha Mama, ningeagiza aunganishwe kwenye hiyo issue ya Mtwara maana alitoa ripoti feki
 
Sasa yy Kwa Nn asingejiridhisha kabla hajaenda Kuongea Huko Bibisii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona wakuu wote wa vyombo vya usalama vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndani pamoja na Usalama wa Taifa watolewe na badala yake wawekwe wanajeshi wenye vyeo vya Brigedia Jenerali au Meja Jenerali kama Magufuli alivyofanya Magereza! Na DG TISS atokee kwenye kitengo cha Military Intelligence!
 
Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.

Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake

Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.

Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
We nawe ni mkubwa lakini zezeta,,yule KAMISHINA Awadh Ni mrangi sio mzanzibar
 
Anawachelewesha tu, walitakiwa wawe nje muda mrefu
 
Jamaa alituhadaa kwamba anao ushahidi wa kumfunga Mbowe gunia kama "salasini" na zaidi.Ulipofika muda wa kutoa ushahidi,mashahidi wakawa wanashikwa na kiu kama bata wajane.😂😂😂😂😂
We kweli kiazi kwan Mbowe kaachiwa sababu hana kesi au kaachiwa sababu
Uliona ile clip ya huyo boss wa PGO akifanyiwa "zindiko kali" na waganga mahiri wa Gambosh pale Kilwa Road akiwa na Mwendazake? Sasa hizo tunguri zimeyeyuka au?

Halafu alimdanganya mama, maskini, akamwamini. Akamhakikishia kwamba ushahidi mzito wa ugaidi wa Mbowe upo na mmoja wa magaidi keshafungwa. Mama akatamka hivyo akihojiwa na BBC. Ningekuwa mimi nina hicho cheo cha Mama, ningeagiza aunganishwe kwenye hiyo issue ya Mtwara maana alitoa ripoti feki
Hahaha eti alimdanganya mama ambaye aliona raha kujiachia kwa kikeke😊😊😊
 
Mimi naona wakuu wote wa vyombo vya usalama vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndani pamoja na Usalama wa Taifa watolewe na badala yake wawekwe wanajeshi wenye vyeo vya Brigedia Jenerali au Meja Jenerali kama Magufuli alivyofanya Magereza! Na DG TISS atokee kwenye kitengo cha Military Intelligence!
Hahaha yani au basi tu
 
We kweli kiazi kwan Mbowe kaachiwa sababu hana kesi au kaachiwa sababu

Hahaha eti alimdanganya mama ambaye aliona raha kujiachia kwa kikeke😊😊😊
Bumunda bichi weye!Alihukumiwa kwenye hiyo kesi?Acha kukaza shingo na kubisha kwa kutumia kiuno.
 
Mimi naona wakuu wote wa vyombo vya usalama vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndani pamoja na Usalama wa Taifa watolewe na badala yake wawekwe wanajeshi wenye vyeo vya Brigedia Jenerali au Meja Jenerali kama Magufuli alivyofanya Magereza! Na DG TISS atokee kwenye kitengo cha Military Intelligence!
Nchi Hii Ni Ngumu, Hata wakitoka Wapi Bado ni Hekaheka Tu maana anaekuja anakuja na Watu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom