Tetesi: Za ndani kabisa mkuu wa PGO muda wowote kulikwa Kadi nyekundu akifuatiwa na namba tatu katika tasnia hiyohiyo

Kamishna Awadh ni Mrangi wa Kondoa sasa Singida na Kondoa wapi na wapi Mkuu
 
Ni aibu kubwa baba Zima lenye mvi lililo chezea ujana wake uko vibaya na leo linafuraia wenzie kutumbuliwa stupid kwakweli
 
PGO ndio nini
 
Huyo mpare ni diwani ?
 
Ni aibu kubwa baba Zima lenye mvi lililo chezea ujana wake uko vibaya na leo linafuraia wenzie kutumbuliwa stupid kwakweli
vp mkuu mbona imekuuma sana? kunani? mi najua jf ni uwanja ramli bana
 
Ni aibu kubwa baba Zima lenye mvi lililo chezea ujana wake uko vibaya na leo linafuraia wenzie kutumbuliwa stupid kwakweli
Mama yako **** yake ishapoteza mbano 😀😀
 
Nchi Hii Ni Ngumu, Hata wakitoka Wapi Bado ni Hekaheka Tu maana anaekuja anakuja na Watu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau JW mkuu wana nidhamu kuliko hayo majeshi mengine! Magereza sasa hivi kidogo kumenyooka japo baadhi ya maafisa waandamizi wa hilo jeshi wanamchukia huyo CGP!
 
Angalau JW mkuu wana nidhamu kuliko hayo majeshi mengine! Magereza sasa hivi kidogo kumenyooka japo baadhi ya maafisa waandamizi wa hilo jeshi wanamchukia huyo CGP!
Polisi na hata TISS kuna watu very smart kuliko ambavyo mnaona na kuliko hata ambao wapo JWTZ .. Na Sijajua unazungumzia nidhamu ipi ambayo JWTZ waliyo nayo ambayo Polisi na TISS hawana
 
Jamaa Anaachia Institution Haa
Ameshastaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…