Tetesi za siri tusizozijua vita ya Russia vs Ukraine

Wacha weee 🀣🀣🀣🀣
 
Another US puppet
 
Unafanya kazi Mosad?
 
I stand for Russia
 
Nadhani unahitaji muda wa kutosha kusoma historia ya urusi na warusi wenyewe ni watu wa aina gani?

Zishatumika mbinu nyingi sana na Marekani kutumia wanafunzi wa chuo nk, kuandaa maandamano ya kutaka kumtoa Putin madarakani, mbinu zote zimegonga mwamba, warusi mambo yao ya nchini mwao huwa wanadeal nayo wenyewe ila so kwa ushawishi wa nguvu kutoka nje ya nchi yao. Ukiwafanyia ivyo huwa wanakua kitu kimoja na kusimama na rais wao.

Hata hili la vikwazo wengi wa Ulaya waliamini maisha ya warusi kuwa magumu na kufanya waingie barabarani kama wanavyotufanyia huku dunia ya 3.

Kuna vingi hauvijui kuhusu Urusi.

Kwanza tokea umezaliwa umekua ukiisikia Urusi kupitia vombo vya magharibi, ivyo unaijua urusi kwa upande mmoja tu
 
Mimi binafsi sijakuelewa....
 
Safi sana, ndugu mnyetishaji haya tunyetishe kuhusu idadi ya askari wa Ukraine waliokufa hadi sasa au wanaouawa ni wale wa Russia tu.
 
NONSENSE
 
Kuna Nyuzi naziweka Katika kumbukumbu zangu,Hii vita Ikiisha Tutaitana Hapa Tuulizane Vizuri mlikuwa mnatumwa na nani?
 
Yaaan mtu wa buza kwa lulenge ajue siri ya nato vs urus,alaf putin mwanausalama mstaafu asijue,,,embu wawe serious bhana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuna siku watajifunza kusoma habari hii copy and paste Itawagharimu. Hii vita hatua iliyofikia ni kusubiria matokeo tu na sio kusikiliza vyombo vya Habari.Yaani imejaa propaganda mpaka Kichefuchefu!!
 
Hizi hata sio tetesi ni akili zako tu ,hakuna utafuti Wala source yoyote Putin ni former wa KGB ,unadhani ni WA kitoto unaona marekan wanavyohaha kurekebiaha kaulinzao Putin sio mwarabu ,Tulia uone shooo utakuja kufuta huuu uzi

sent from HUAWEI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…