Tetesi za siri tusizozijua vita ya Russia vs Ukraine

Tetesi za siri tusizozijua vita ya Russia vs Ukraine

Pengine haya maneno yanakuumiza sana lakini wacha nikuambie bwana mdogo...yanayofanywa na Urusi au Putin si kitu kinachoweza kufanywa na kila MTU ila tu unabii utimie

Akikujibu nistue maana watoto wengi humu na wengi hawajui unapoizungumzia Soviet Union unaizungumzia Russia
Nimemjibu..
 
Kila mtu anaongea kitu chake ila ipo siri kubwa sana ambayo wanausalama wanaijuwa nawamepiga kimya japo jana Mzee baba Ameamua kujilipua. "For the God Sake Putin cannot remain in Power"

Nini dunia haikijuwi na nini dunia ya majasusi wanakijuwa ambacho ni siri nzito.
Kwa wale hamjuwi basi sio mbaya kujuwa. Baba wa ujasusi akisaidiana na jamaa yake pale Israel na akina Mi6 wamefanya jambo lao la siri mahali na wenzao wamelinyaka japo ndio too laite to catch them.

Haya majamaa yalishaijuwa ambition ya kijana Putin hata kabla hajajuwa wanajuwa agenda zake. Wakagonga naye cheasi ila behind the secret bar wanamujitaji nayupo on top red list yao wakamuacha ajitanue nakujiona mjanja ila wakijuwa mwisho wake upo wakati asio ujuwa.

Idara za siri za Russia wanajuwa kila kitu kinaendelea na ndio maana uwenda mzee baba wakati fulani mkuu wake wa ujasusi alimshauri waendelee na mazungumzo japo ndio hivyo tena jamaa akam dich.

Rais wa Marekani alichokiongea anajuwa ameongea nini uwenda ametoa siri yakike kinaendelea ndani ya Kremlin. Kama hujuwi basi ngoja nikujuze. Kiufupi mpaka sasa mzee baba anahisi ndani ya kremlin kuna watu wametengeneza conspiracy. Yani ameenda vitani akiamini kwa wk moja watakamata Ukraine ila kumbe sio kweli. Waliambiwa wakifika watapokelewa kwa bashasha na nderemo ila picha imekuwa ndivyo sivyo. Budget alio pewa na kile kinaendelea ni magharibi na mashariki yani gharama imepaa sana kiasi jamaa wanabadilisha plan ya mapigano.

Mbaya kuliko yote Mpaka sasa Russian wamepoteza wanajeshi maelfu wakiwemo magenaral kadhaa. Mbaya zaidi inasemekana taarifa za siri zinasema Ukraine imewaachia jamaa waingie kisha wamewazunguka mbele na nyuma.
Majeshi ya Urusi yamewekwa mtu kati.

Taarifa mbaya ni tukio lakutisha la mkuu wa majeshi kupata heart attack. Hii bado nisiri kubwa imezunguka ikulu ya Kremlin. Tetesi hizi zina mchanganya sana Putin maana anahisi kunajambo linaendelea pale Kremlin.

Majasusi ya nchi za magaribi wanaujuwa mwisho wa Putin ns wanajuwa lini uchumi wa Putin utakuwa juu ya mawe.. jambo wanaona hawaitaji kwenda vitani na mtu alie amua kujichanganya.

Russian wanamtaka USA ila USA wamekuwa smart kuusoma mchezo nakumuacha Putin asijuwe lakufanya.
Kumalizia kile kitamkuta Putin ni kile kilimkuta Adolf Hitler. Yani atalipa trion of fines kuijenga Ukraine na atalipa mafidia ambayo hakuyategemea ile ndoto yakuwa super power itapotea. China anausoma mchezo na anaona sasa kumbe kuwa na nuclear sio kuwa super power ila nikulala na sumu kali ndani ya chumba.

Vita hii inaenda kubadilisha mambo mengi na huenda tawala nyingi za kiimla zitakuwa ktk wakati mgumu sana.
"For God sake Putin can not remain in Power" Joe Biden
Yaani Tanzania hii jamani , duh bora nikae kimya
 
Aisee,umeongea vingi ila umelishwa sana propaganda za west.umeingia kingi.

Urusi bado anaogopwa kama nyati aliyejeruhiwa .amepoteza vingi vitani ila bado anaogopwa sana tena sana
Heheheh nyati alie jeruhiwa...
 
Kwa nini Ukraine hasherehekei ushindi wa WWII
Ilikuwa sehemu ya ushindi ule...ndio maana nakakupa mfano: sisi bara hatukuwa na mapinduzi, ila baada ya kuungana na visiwani tunaadhimisha mapinduzi. Na Russia haikuwa pekeyake WW2. Ilikuwa ndani ya USSR ..
 
Nadhani vyombo vya magharibi vimekulisha upepo.

Ni bahati mbaya sana tumenyimwa fursa ya kutazama RT,tumelazimishwa kutazama propaganda za CNN,BBC.....

Tatizo ya hii vita imeleta ushabiki na kuwagawa watu kimakundi

Saizi unapinga media za CNN, BBC kuwa zimepotosha

Lakini media hizo hizo zinapotangaza wanajeshi wa ukraine waliokufa vitani mnasema "Putin kiboko si unaona mpaka NATO wameufyata"

Hapo hamjitokezi kusema ni propaganda, ila linapokuja swala la kuiongelea Urusi negative ndio hapo cheche zinapowatoka
 
Soma komenti za wadau!! Umeandika pointi au ngonjera na mashairi ya darasa la 3?

Unakwama wapi kijana?

Mbona sources zote makini duniani zimechambua kiundani kuhusu vita hii?

Ni bora ungenyamaza ingekuwa ni busara zaidi.

Hujayatendea haki haya maandishi

Kazi kweli kweli !! Jitafakari mgosi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehehhehhe... Poa
 
Wabongo mambo yetu tu yametushinda, lakini ya wenzetu tunajifanya tunayajua kinoma...
 
Unanifanya hata siku ukipost kitu nisiwe na hamu ya kusoma..zaidi nakufananisha na wale wanafunzi kule Fesibuku..
Unajuwa ujinga nakukaa kimya ni busara sana. Mm nimekuelewa.
 
Ilikuwa sehemu ya ushindi ule...ndio maana nakakupa mfano: sisi bara hatukuwa na mapinduzi, ila baada ya kuungana na visiwani tunaadhimisha mapinduzi. Na Russia haikuwa pekeyake WW2. Ilikuwa ndani ya USSR ..
Kwa hio ninaposema Russia ilimpiga Hitler usiwe mbishi.

Kumbuka mipango yote na kila kitu ilikuwa ni Russia, hata baada ya anguko Russia ndio imebaki kama alama ya USSR.

Ukiitoa Russia hakuna USSR, ndio maana mpaka leo wanasheherekea kama washindi wa WWII.
 
Back
Top Bottom