Tetesi za siri tusizozijua vita ya Russia vs Ukraine

Tetesi za siri tusizozijua vita ya Russia vs Ukraine

Kila mtu anaongea kitu chake ila ipo siri kubwa sana ambayo wanausalama wanaijuwa nawamepiga kimya japo jana Mzee baba Ameamua kujilipua. "For the God Sake Putin cannot remain in Power...
Soma komenti za wadau!! Umeandika pointi au ngonjera na mashairi ya darasa la 3?

Unakwama wapi kijana?

Mbona sources zote makini duniani zimechambua kiundani kuhusu vita hii?

Ni bora ungenyamaza ingekuwa ni busara zaidi.

Hujayatendea haki haya maandishi

Kazi kweli kweli !! Jitafakari mgosi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine haya maneno yanakuumiza sana lakini wacha nikuambie bwana mdogo...yanayofanywa na Urusi au Putin si kitu kinachoweza kufanywa na kila MTU ila tu unabii utimie
 
Nilikimbilia kusoma kwa bashasha kumbe wewe ni wale Team Nato. Anyway wenzio walio kinyume nawe wanakuja muanze ligi
 
"For God sake Putin can not remain in Power" Joe Biden
 
Kila mtu anaongea kitu chake ila ipo siri kubwa sana ambayo wanausalama wanaijuwa nawamepiga kimya japo jana Mzee baba Ameamua kujilipua. "For the God Sake Putin cannot remain in Power...
Haya CIA uchwara mna Akili Sana kuliko wanausalama wa urusi.
 
Putin anapigwa ile waswahili wanaitwa bwege mtozeni, unachoma mafuta na kuharibu hela with zero output ukijakufika mwisho stress zinakumaliza..

Hii Vita Russia kaachwa achome hela maana uchumi wake watu wanaujua na ameshapigiwa hesabu na kifuatacho ni kupigana vita isiyo na matokeo miaka mingi na mwisho wa siku atashindwa hata kulipa mishahara sio tu jeshini bali hata huko uraiani..

Ulaya ndio mteja mkubwa duniani wa kila biashara ya Russia...
 
Back
Top Bottom