Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
RubbishPutin anapigwa ile waswahili wanaitwa bwege mtozeni, unachoma mafuta na kuharibu hela with zero output ukijakufika mwisho stress zinakumaliza..
Hii Vita Russia kaachwa achome hela maana uchumi wake watu wanaujua na ameshapigiwa hesabu na kifuatacho ni kupigana vita isiyo na matokeo miaka mingi na mwisho wa siku atashindwa hata kulipa mishahara sio tu jeshini bali hata huko uraiani..
Ulaya ndio mteja mkubwa duniani wa kila biashara ya Russia...