Tetesi za siri tusizozijua vita ya Russia vs Ukraine

Kwa hio ninaposema Russia ilimpiga Hitler usiwe mbishi.

Kumbuka mipango yote na kila kitu ilikuwa ni Russia, hata baada ya anguko Russia ndio imebaki kama alama ya USSR.

Ukiitoa Russia hakuna USSR, ndio maana mpaka leo wanasheherekea kama washindi wa WWII.
Ah!....
 
Vita ina siri Sana!!yale yanayotangazwa sio uhalisia wa mambo yenyewe!!ngoja Tuone hatma!!!
Mabeberu wanatoa habari in favour ya maslahi yao na myukrain,na hakuna uhalisia na vyombo vyao vyote wamevifunga mdomo kuonyesha umoja wao.
 
Nilikuwa nafuatilia Arutz Sheba ya Israel kuwa Inteligency ya Ukraine inajua mipango ya kumuua Putin.
Kwa hiyo kwa sehemu nataka kuamini lakini upande mwingine siwezi kuamini.
Putin anaonekana fiti kwenye media kama kawaida akitoa taarifa ya hali ya uchumi wa Russia na maendeleo ya vita Ukraine,labda ambaye kuna tetesi kuwa amepata kiharusi ni Waziri wa Ulinzi Shoigu kwa sababu hajaonekana kwenye media muda.
Wasiwasi wangu ni Ziara ya Waziri Mkuu wa Israel Bennet na waziri wake wa ujenzi aliyofanya ghafla siku chache zilizopita kwa ndege ya siri ya Mosaid usiku alipokwenda kuonana na Putin,akaelekea Ujerumani na then akaenda kuonana na Zelensiky usiku huo huo ziara iliyochukua masaa 3 then akarudi Israel ! sasa huwezi kujua kilichofanyika kuhusu Putin.
 
Hahah wazee wa propaganda.
Screenshot_20220326-013126.jpg
 
Nadhani vyombo vya magharibi vimekulisha upepo.

Ni bahati mbaya sana tumenyimwa fursa ya kutazama RT,tumelazimishwa kutazama propaganda za CNN,BBC.....
RT ni kama TBC au Xinhua News Agency tu.
 
Kila mtu anaongea kitu chake ila ipo siri kubwa sana ambayo wanausalama wanaijuwa nawamepiga kimya japo jana Mzee baba Ameamua kujilipua. "For the God Sake Putin cannot remain in Power"

Nini dunia haikijuwi na nini dunia ya majasusi wanakijuwa ambacho ni siri nzito.
Kwa wale hamjuwi basi sio mbaya kujuwa. Baba wa ujasusi akisaidiana na jamaa yake pale Israel na akina Mi6 wamefanya jambo lao la siri mahali na wenzao wamelinyaka japo ndio too laite to catch them.

Haya majamaa yalishaijuwa ambition ya kijana Putin hata kabla hajajuwa wanajuwa agenda zake. Wakagonga naye cheasi ila behind the secret bar wanamujitaji nayupo on top red list yao wakamuacha ajitanue nakujiona mjanja ila wakijuwa mwisho wake upo wakati asio ujuwa.

Idara za siri za Russia wanajuwa kila kitu kinaendelea na ndio maana uwenda mzee baba wakati fulani mkuu wake wa ujasusi alimshauri waendelee na mazungumzo japo ndio hivyo tena jamaa akam dich.

Rais wa Marekani alichokiongea anajuwa ameongea nini uwenda ametoa siri yakike kinaendelea ndani ya Kremlin. Kama hujuwi basi ngoja nikujuze. Kiufupi mpaka sasa mzee baba anahisi ndani ya kremlin kuna watu wametengeneza conspiracy. Yani ameenda vitani akiamini kwa wk moja watakamata Ukraine ila kumbe sio kweli. Waliambiwa wakifika watapokelewa kwa bashasha na nderemo ila picha imekuwa ndivyo sivyo. Budget alio pewa na kile kinaendelea ni magharibi na mashariki yani gharama imepaa sana kiasi jamaa wanabadilisha plan ya mapigano.

Mbaya kuliko yote Mpaka sasa Russian wamepoteza wanajeshi maelfu wakiwemo magenaral kadhaa. Mbaya zaidi inasemekana taarifa za siri zinasema Ukraine imewaachia jamaa waingie kisha wamewazunguka mbele na nyuma.
Majeshi ya Urusi yamewekwa mtu kati.

Taarifa mbaya ni tukio lakutisha la mkuu wa majeshi kupata heart attack. Hii bado nisiri kubwa imezunguka ikulu ya Kremlin. Tetesi hizi zina mchanganya sana Putin maana anahisi kunajambo linaendelea pale Kremlin.

Majasusi ya nchi za magaribi wanaujuwa mwisho wa Putin na wanajuwa lini uchumi wa Putin utakuwa juu ya mawe.. jambo wanaona hawaitaji kwenda vitani na mtu alie amua kujichanganya.

Afya ya kiongozi wa taifa hilo.. mmmm nawaambia kaa mbali na haya majamaa ya magharibi chini ya master plan Mossad wana siri ambazo hakuna agency dunia wanazijuwa.. kama ni mtu unayefuwatilia mambo ya hawa marafiki wawili chanda na pete CIA and Mossad rudi nyuma kidogo wakati Ussr ilikuwa dola kubwa duniani na CIA walihitaji moja ya siri wasingeweza kuipata na hii sio siri nyingine ni doc ya kikao cha siri cha usalama wa Taifa lawakati huwo USSR. Mossad wali fanikiwa kupata minutes za kikao na full doc nakutuma CIA pasipo jamaa kujuwa. Turudi pia kwenye siri ya afya yakiongozi huyu wa sasa pasipo shaka yoyote CIA wana doc inayohusu viongozi wa taifa ktk wakati ule wakiwakaribisha pale white house... Wakipata mvinyo... na vitu vitami ila jamaa wakitafuta jasho, nywele, mate, kinyesi, mkojo. Unaweza fikiri nimambo yakawaida ila now a day ukipata hivyo vitu nimoja ya usalama mkubwa kwa taifa kujuwa hali ya afya yaviongozi nimtaji mkubwa sana ktk nyanja ya usalama.... Ndio maana yupo jamaa aligoma kutoka nje ya taifa lake akijuwa wale wajinga wanatembea na pot lakukusanya mizigo ya viongozi kwa kazi maalumu...
Afya ya huyu mzee baba na yule wakurusha rocket.... 😭😭😭😭😭😭 should u start a war with person whoooooooooooo .......🤐🤐

Russian wanamtaka USA ila USA wamekuwa smart kuusoma mchezo nakumuacha Putin asijuwe lakufanya.
Kumalizia kile kitamkuta Putin ni kile kilimkuta Adolf Hitler. Yani atalipa trion of fines kuijenga Ukraine na atalipa mafidia ambayo hakuyategemea ile ndoto yakuwa super power itapotea. China anausoma mchezo na anaona sasa kumbe kuwa na nuclear sio kuwa super power ila nikulala na sumu kali ndani ya chumba.

Vita hii inaenda kubadilisha mambo mengi na huenda tawala nyingi za kiimla zitakuwa ktk wakati mgumu sana.
"For God sake Putin can not remain in Power" Joe Biden

Pombe za Jpili mapema sio nzuri, nendeni kanisani kwanza, kisha ndio mnywe jioni.
 
Kolo sana wewe. Hivi unajua nini we we?
 
Afya ya huyu mzee baba na yule wakurusha rocket.... [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] should u start a war with person whoooooooooooo .......[emoji850][emoji850]

Russian wanamtaka USA ila USA wamekuwa smart kuusoma mchezo nakumuacha Putin asijuwe lakufanya.
Kumalizia kile kitamkuta Putin ni kile kilimkuta Adolf Hitler. Yani atalipa trion of fines kuijenga Ukraine na atalipa mafidia ambayo hakuyategemea ile ndoto yakuwa super power itapotea. China anausoma mchezo na anaona sasa kumbe kuwa na nuclear sio kuwa super power ila nikulala na sumu kali ndani ya chumba.

Vita hii inaenda kubadilisha mambo mengi na huenda tawala nyingi za kiimla zitakuwa ktk wakati mgumu sana.
"For God sake Putin can not remain in Power" Joe Biden
Sio mzuri Sana wa vinywaji vikali ila nahisi umekunywa bongo don
 
Back
Top Bottom