Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

VIONGOZI WA SIMBA NA BENCHI LA UFUNDI WATAKUWA WAMEFANYA KOSA KUBWA SANA WASIPOSAJILI KIUNGO NO 10 WATAKUWA WAMEFANYA KOSA LA KARNE.

HAWATAPATA KOMBE LOLOTE MSIMU HUU.
 
VIONGOZI WA SIMBA NA BENCHI LA UFUNDI WATAKUWA WAMEFANYA KOSA KUBWA SANA WASIPOSAJILI KIUNGO NO 10 WATAKUWA WAMEFANYA KOSA LA KARNE.

HAWATAPATA KOMBE LOLOTE MSIMU HUU.
Mimi sina neno, nimeanza kuamini zile tetesi kuwa simba haitofanya sajili yoyote ile!
Tusubiri dirisha kubwa labda timu yetu haina mapungufu.
Sijui tukikutana na RS BERKANE, ZAMALEK mmh
 
VIONGOZI WA SIMBA NA BENCHI LA UFUNDI WATAKUWA WAMEFANYA KOSA KUBWA SANA WASIPOSAJILI KIUNGO NO 10 WATAKUWA WAMEFANYA KOSA LA KARNE.

HAWATAPATA KOMBE LOLOTE MSIMU HUU.
mkuu hii simba mbona inatosha kwa malengo tuliyonayo:-
1 kufika robo fainal caf
2, kuwa nafasi mbili za juu NBC uhakika sio kama mwaka jana,

kuna mda kama simuelewi kocha 😁,

tuvute subra, mana insider wetu alisema hatusajili
 
Simba imejifunza kitu..kwamba hakuna mchezaji mzuri unayeweza kumpata dirisha dogo..
Halafu Fadlu inavyoonekana mchezaji ni hadi aingie kwenye mfumo wake/ wa timu ni lazima awe na timu si chini ya wiki nane. Ndio maana Mpanzu anaingia kwa muda maalumu hadi hapo atakapokuwa na muunganiko.
 
Simba imejifunza kitu..kwamba hakuna mchezaji mzuri unayeweza kumpata Sirisha dogo..
Halafu Fadlu inavyoonekana mchezaji ni hadi aingie kwenye mgumowake/ wa timu ni lazima aww na timu si chini ya wiki nane. Ndio maana Mpanzu anaingia kwa muda maalumu hadi hapo atakapokuwa na muunganiko.

Sirisha = dirisha
Mgumowake = mfumo wake
Aww = awe
Umekunywa chai kweli wewe? Kama bado basi kunywa hata maji mengi.
 
Droo ya shirikisho na klabu bingwa lini wakuu?
 
Back
Top Bottom