Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

»Kiungo no 10 wa kigeni;
Simba tunahitaji a complete no 10 mwenye kasi,nguvu na maarifa makubwa ya mpira anayeweza kuitawala midfield.

»Winga mzawa;
Toa karabaka tia winga mwingine.

»Beki wa kati mzawa;
Toa huseni kaze tia beki mwingine.

»Kiungo mzawa;
Toa omari omari tia kiungo mwingine.
Hizo ni 10% za watu mkuu.
 
Coach Ramovic ameshauri uongozi wa Yanga kuachana na mpango wa kumsajili beki wa Fountain Gate Laurin Makame
Baada ya kumtazama Kwa mechi 2 kati fountain Gate na Azam na Yanga
Ikumbukwe usajili wa Makame ulikuwa umekamilika 90%
 
Mkuu Yanga msimu ujao tunahitaji sajili kama 3 au 4 za maana. Hasahasa mshambuliaji, namba 6, winga na kiungo mchezeshaji.
 
Mkuu Yanga msimu ujao tunahitaji sajili kama 3 au 4 za maana. Hasahasa mshambuliaji, namba 6, winga na kiungo mchezeshaji.
Yanga inahitaji beki wa kati
Namba 6
Na mshambuliaji tu
Wachezashaji wapo wengi Chama, Pacome, Azizi , mudathir, max
 
Screenshot_20241231-171939.jpg
 
Joshua Mutale anaweza kuuzwa kwa mkopo na nafasi yake kuchukuliwa na mchezaji mwingine
 
TETESI.

Feisal salum mbioni kujiunga na simba.

Aishi manura mbioni kurudi Azam.

Simba wanaweza wakafanya Swap deal la Aishi manura na Feisal salum.
Na fedha .

Naendelea kufuatilia hili saga kwa Karibu.
 
TETESI.

Feisal salum mbioni kujiunga na simba.

Aishi manura mbioni kurudi Azam.

Simba wanaweza wakafanya Swap deal la Aishi manura na Feisal salum.
Na fedha .

Naendelea kufuatilia hili saga kwa Karibu.
Nasikia kuna billion 1 ya yanga kama feisal aliuzwa ndani ya nchi katikati miaka mitatu ya mkataba wake wa kwanza
 
Simba wana Haha sana kumtafuta kiungo No 10.

Wanasahau kuwa wana mapungufu kwenye Beki wa kati na Kiungo Mkabaji No 6.

Wanamahitaji
No 5.
No 6.
No 10.
Wakipata watu kwenye Maeneo hayo basi ubingwa wa CAF CC huu hapa
Simba haina shida sana kwenye beki kama kiungo. Wa focus kwenye kiungo zaidi, 6 na 10
 
ISHU YA FEISAL SALUM IMEPAMBA MOTO, OFFER YA KWANZA DOLLAR 230,000/= IMEPIGWA CHINI,
NAONA OFFER YA PILI DOLLAR 300,000/= PLUS AIR MANULA IMEPELEKWA LEO! NATUMAI AZAM HAWATOZINGUA KWAKUWA SIMBA NA AZAM NI KAMA NDUGU!!!
 
Yanga kwenye hiyo biashara anavuta 1 billion Tsh
 
Back
Top Bottom