Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Abdelhay forsy
Ibrahim seck
Karim kimvuidi
Allan okello
Stephen amakona

Hakuna hata mmoja aliyesajiliwa ni porojo tu.
 
NAANDIKA KWW HERUFI KUBWA.

MNAOSEMA FADRU AMESEMA HAONGEZI MCHEZAJI YOYOTE.

BASI NITAMUONA FADRU NI KICHAA,,NA VIONGOZI WA SIMBA NA MUWEKEZAJI NI MALOFA.

TIMU INASHINDA KWA BAHATI BAHATI, ROHO MKONONI,,GOLI MOJAA MOJA KWA MBINDE.

KWENYE SHIRIKISHO NDIO USISEME.
LEO UNASEMA FADRU HAONGEZI MCHEZAJI!!!

WHAT A SHAME.
5, 6, 10.
 
  • Thanks
Reactions: K11
»Kiungo no 10 wa kigeni;
Simba tunahitaji a complete no 10 mwenye kasi,nguvu na maarifa makubwa ya mpira anayeweza kuitawala midfield.

»Winga mzawa;
Toa karabaka tia winga mwingine.

»Beki wa kati mzawa;
Toa huseni kaze tia beki mwingine.

»Kiungo mzawa;
Toa omari omari tia kiungo mwingine.
 
Nilishawahi kumsikia Fadlu kwenye moja ya mahojiano alisema hivyo.

Aliropoka tu pia nina mashaka sana na Uwezo wake.
Tactically, Technically skills nk

Fadru ni Mweupe sana.
Niliprove game ya JKT.
Ngoma ndio kama kocha.
 
»Kiungo no 10 wa kigeni;
Simba tunahitaji a complete no 10 mwenye kasi,nguvu na maarifa makubwa ya mpira anayeweza kuitawala midfield.

»Winga mzawa;
Toa karabaka tia winga mwingine.

»Beki wa kati mzawa;
Toa huseni kaze tia beki mwingine.

»Kiungo mzawa;
Toa omari omari tia kiungo mwingine.
Mawinger wa kizawa mbona wapo wengi

Balua
Chasambi
Kibu
Kalabaka

Tunahitaji Winger wa Kigeni maana tunao wachache na mmoja ni mbovu sana

Mpanzu
Mutale

Fyeka mutale lete winger wa kigeni
 
Mawinger wa kizawa mbona wapo wengi

Balua
Chasambi
Kibu
Kalabaka

Tunahitaji Winger wa Kigeni maana tunao wachache na mmoja ni mbovu sana

Mpanzu
Mutale

Fyeka mutale lete winger wa kigeni
Winger sio inshu sana kama no 10 coz kibu,chasambi na mpanzu wanatosha kwa sasa dirisha kubwa ndo tutafanya maboresho.

Aachwe mutale atafutwe no 10 mwingine mwenye kasi,nguvu na maarifa makubwa ya mpira anayeweza kuitawala midfield ahuwa bado sana ndio maana tunashinda kwa shida sana.

Kumbuka dirisha dogo kupata mchezaji wa kigeni wa maana ni ngumu sana so tusajili wachezaji wa ndani wengi.
 
Simba wapo kimya sana, nilitarajia saivi tuwe tumeongeza wachezaji wakizawa tena wenye vipaji, kuna madogo akina sabri kondo, lawi, charles semfuko, gego, mtasingwa, edga william, n.k
 
Simba kama wapo serious kweli waachane na Mutale na Mukwala. Najua hapa kwa Mukwala baadhi ya watu watakataa lakini huo ni ukweli mchungu kabisa. Haiwezekani viungo, mawinga na mabeki wa pembeni wafanye kazi kubwa uwanjani halafu timu inaishia kigoli kimoja tena kwa taabu sana huku wapenzi na mashabiki wakiwa roho juu wanapumulia mashine dakika 90+. Simba nyuma na katikati sio mbaya sana ila kule mbele butu kabisa

Narudia tena Simba achaneni na Mutale na Mukwala tafuteni namba 9 anayelijua goli na namba 10 anyejua kuchezesha timu na kutengeneza nafasi. Mkifanya hivyo ikifika mwezi wa tano mwakani mtanishukuru. Hao wakina Mutale na Makwala wao ni mbio mbio tu dakika 90 nafasi saba wanafunga moja na mwingine sijui hata kama amewahi hata kufunga goli. Halafu sasa wakibatisha wakafunga utasikia baadhi ya mashabiki wanapeana moyo eti Mukwala gari limewaka daa tabu sana. Kiukweli kabisa Mutale na Mukwala Simba ni kubwa sana kuliko uwezo wao. Tathmini ya nusu msimu inaonyesha jezi ya Simba ni nzito sana kwao.

Na mpaka sasa sijui kwa nini Fadlu anawavumilia wakati yeye mwenyewe alikuwa mfungaji mzuri sana akifunga magoli mazuri ya kila aina wakati anacheza. Ukiangalia magoli ya Fadlu kule "youtube" japo ni zamani ukaja linganisha na hao wakina Mutale na Mukwala ni kama kulinganisha giza na mwanga.

Ni mtizamo tu.
 
Back
Top Bottom