Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Daah wachezaji kutoka uganda big no wako na quality ndogo to be able to shine hapa tz.
Unamkumbuka OKWI, vipi kuhusu AUCHO? TADEO LWANGA JE, vipi kuhusu Travis Mutyba?
Ishu sio utaifa ishu ni talent ya mchezaji huyo! Afu uganda wapo na vipaji vingi sana chifu, rudia ile game ya south africa vs uganda , utagundua kitu
 
Simba wana Haha sana kumtafuta kiungo No 10.

Wanasahau kuwa wana mapungufu kwenye Beki wa kati na Kiungo Mkabaji No 6.

Wanamahitaji
No 5.
No 6.
No 10.
Wakipata watu kwenye Maeneo hayo basi ubingwa wa CAF CC huu hapa
6 haina haja mkuu, Kagoma na Okejepha wanatosha...

5 na 10, yes.
 
Kabisa 6 tuna wachezaji wenye uwezo wa kupambana na timu yoyote ile, sema mashabiki bado hawaelewi nan namba 6 ,mgawanyo wa mechi wanaona hatuna namba 6 ila kila mmoja akicheza 6 kati ya Okejepha na kagoma wanaperfom vizuri tu
 
Kaizer chiefs wametuma offer ya Tsh 1 billions kumhitaki Ibrahim Bacca
Coach Nabi na Kaze wanahitaji huduma ya kitasa kutoka Yanga

Uongozi wa Yanga wapo wanajadili offer hii na wamesema watatoa jibu siku sio nyingi
 
Mhh
 
Timu mbovu inataka kumsajili mchezaji mbovu si itashuka daraja sasa
 
Kaizer chiefs wametuma offer ya Tsh 1 billions kumhitaki Ibrahim Bacca
Coach Nabi na Kaze wanahitaji huduma ya kitasa kutoka Yanga

Uongozi wa Yanga wapo wanajadili offer hii na wamesema watatoa jibu siku sio nyingi
Yanga wachukue hela hiyo
 
Kabisa 6 tuna wachezaji wenye uwezo wa kupambana na timu yoyote ile, sema mashabiki bado hawaelewi nan namba 6 ,mgawanyo wa mechi wanaona hatuna namba 6 ila kila mmoja akicheza 6 kati ya Okejepha na kagoma wanaperfom vizuri tu

Simba Haina kiungo Mkabaji mwenye Uwezo Mkubwa.

Ngoma.
Debora
Okejepha.
Hawa ni wachezaji wa Kawaida sana labda watafute 6 wa kusaidiana na Kagoma

Debora ni 8 box to box mzuri sema wanampa majukumu ya kukaba sana kuliko kuchezesha timu.
 
Back
Top Bottom