Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Simba Haina kiungo Mkabaji mwenye Uwezo Mkubwa.

Ngoma.
Debora
Okejepha.
Hawa ni wachezaji wa Kawaida sana labda watafute 6 wa kusaidiana na Kagoma

Debora ni 8 box to box mzuri sema wanampa majukumu ya kukaba sana kuliko kuchezesha timu.
Ngoma sio namba 6 ni namba 8 wanamlazimisha tu kucheza namba 6. Shida kuu ya simba ni namba 10 ambaye anaweza kuichezesha timu.
 
Ngoma sio namba 6 ni namba 8 wanamlazimisha tu kucheza namba 6. Shida kuu ya simba ni namba 10 ambaye anaweza kuichezesha timu.

Yeye mwenyewe ndio huwa anaomba acheze No 6 kama Deeplying midfillder, play maker wa chini anamuiga Andrew Piro.

Ngoma ni mzuri akiwa analipa goli lake mgongo, kupiga pasi za kwensa mbele.
 
Hapo South Afrika pia kunahitaji majaribio kwa mtu aliyeyokea timu nammba 6 kwa ubora Afrika?
Inashangaza kama sio kustaajabisha yaani kibu akafanye majaribio kaizer au orlando timu ambazo simba kazizidi kwenye msimamo wa caf na hata ushiriki wa cacl na cacc? ulaya tu ndo wachezaji wanafanyaga majaribio hata miquison hakufanya majaribio al ahly
 
  • Thanks
Reactions: K11
BUDO MUTALE daaaah, nadhani sajili hii imegoma kwa upande wangu, Natamani sana viongozi wamchukue yule dogo SABRI KONDO, age yake, talent yake, nadhani anaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa Simba!
Kuendelea kuwa na huyo budo ni upotevu wa muda kabsa
 
TETESI :
NASIKIA KUNA UWEZEKANO MKUBWA WA SIMBA KUTOSAJILI MCHEZAJI YOYOTE ZAIDI YA MPANZU DIRISHA HILI DOGO.
 
Back
Top Bottom