Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Jonathan Ikangalombo ni Mwananchi
Ikangalombo amesaini mkataba wa miaka 2 na miezi 6
Akitoke club ya As Vita na raia wa Congo DR
Atatambulishwa muda wowote
FB_IMG_1736004176561.jpg
 
Jonathan sowah ni mali ya singida black stars tofauti na ulivyoripoti kwamba kagoma kusaing singida.
 
Hakuna sajili kwa kurwa na doto wa kariakoo kwenye hili dirisha dogo? Wapi Hichilema?
 
Back
Top Bottom