Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Tunasajili wachezaji wanaowika kwa msimu si kwa vipaji ndo maana kwa msimo mmoja ama wa pili unaskiaa anaachwa timu zetu kila msimu ukiisha wanasajili rundo la wachezaji.Ukiangali hapo kwenye list vilabu vyote vikuubwa vinaongoza kwa sajili
Fursa ya maslahi pia nadhani inachangia.
 
Tunasajili wachezaji wanaowika kwa msimu si kwa vipaji ndo maana kwa msimo mmoja ama wa pili unaskiaa anaachwa timu zetu kila msimu ukiisha wanasajili rundo la wachezaji.Ukiangali hapo kwenye list vilabu vyote vikuubwa vinaongoza kwa sajili
10% hakuna kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…