Utumike ushawishi ikiwezekana hata watafutiwe mademu wa kuloweka kama alivyofanyiwa Azizi...Umeona hii hatari...
Vuta picha Oura, Rushin wote wasepe kwa kigezo cha offa nzuri...
Tunaanza upya...
Utopolo siwapendi ila wanatushinda kwenye hili la kushawishi wachezaji wazuri wabaki...
demu yupi atamkubali yule jamaa kishingo?Utumike ushawishi ikiwezekana hata watafutiwe mademu wa kuloweka kama alivyofanyiwa Azizi...
Mjini mchawi SASAMPA..demu yupi atamkubali yule jamaa kishingo?
Dah, hatari sana wengine majina yao siyajui.
Nilidhani huyu striker nimemuona Peke yangu. Very talented boy, hapa Yanga msiniulize X2.Hussein Juma Mihambo anatakiwa na Yanga