Hersi kaishiwa maarifa saivi anachukua tu makapi, mara Azizi Ki mara Fadlu. Anafanya sajili za kubahatisha tu kwasasa. Ile zimwi ya ujuaji na ujeuri na ujivuni wa kujiona Perez wa bongo na kumuacha Miloud kizembe bila kumpa mkataba mpya itaendelea kumtafuna katika scouting zake. Ameanza kuonekana mweupe kwenye scouting na bado anazidi kuharibu zaidi. Fadlu sio mpya Tanzania mbinu zake tumeziona ni wa kawaida sana kimbinu na ufundi.Fadlu sio kocha mbaya mkuu. Pia kocha anaweza akawa na CV ya kawaida ila baadae akaja akafanya maajabu. Anaweza akawa na CV kubwa kama yule Pedro ila akaja akashindwa akili na kocha wa kawaida kama Moalin.
Uko sahihi, Aziz K sijui kama ana jipya kwa sasa. Tena kuna wakati kiwango kilishuka vibaya. Miloud alikaa ndani ya muda mfupi ila Yanga ilicheza vizuri sana. Kwa Fadlu ni kama kubet flan hivi.Hersi kaishiwa maarifa saivi anachukua tu makapi, mara Azizi Ki mara Fadlu. Anafanya sajili za kubahatisha tu kwasasa. Ile zimwi ya ujuaji na ujeuri na ujivuni wa kujiona Perez wa bongo na kumuacha Miloud kizembe bila kumpa mkataba mpya itaendelea kumtafuna katika scouting zake. Ameanza kuonekana mweupe kwenye scouting na bado anazidi kuharibu zaidi. Fadlu sio mpya Tanzania mbinu zake tumeziona ni wa kawaida sana kimbinu na ufundi.
Mpira wa miloud ni kama wa Wenger na Maurizio sari, Mr Nice Guy football,mpira ule wa miloud ukiwa unahitaji kumfunga belouzdad goli nne Ili uvuke hutoboiUko sahihi, Aziz K sijui kama ana jipya kwa sasa. Tena kuna wakati kiwango kilishuka vibaya. Miloud alikaa ndani ya muda mfupi ila Yanga ilicheza vizuri sana. Kwa Fadlu ni kama kubet flan hivi.
Majivuni na ujuaji nakubaliana na wewe kwa 100% jamaa anatuona Yanga kuwa bila yeye hatuwezi kusonga mbele asichojua ni kwamba hii timu ya wananchi. Hata yeye akisepa timu itasonga tu mbele.Hersi kaishiwa maarifa saivi anachukua tu makapi, mara Azizi Ki mara Fadlu. Anafanya sajili za kubahatisha tu kwasasa. Ile zimwi ya ujuaji na ujeuri na ujivuni wa kujiona Perez wa bongo na kumuacha Miloud kizembe bila kumpa mkataba mpya itaendelea kumtafuna katika scouting zake. Ameanza kuonekana mweupe kwenye scouting na bado anazidi kuharibu zaidi. Fadlu sio mpya Tanzania mbinu zake tumeziona ni wa kawaida sana kimbinu na ufundi.
Itakuwa unachanganya na mpira wa yule kocha ambae watu wakamtungia A.K.A ya gusa achia twende kwao (Ramovic) mpira wa Miloud ulikuwa ni mpira uliojawa mbinu na ufundi ili kupata matokeo. Yanga ilikuwa direct sana kwenye kushambulia na aliunda ukuta mgumu sana, jamaa alikuwa anajua sanaa ya kupata matokeo na nidhamu ya ulinzi.Mpira wa miloud ni kama wa Wenger na Maurizio sari, Mr Nice Guy football,mpira ule wa miloud ukiwa unahitaji kumfunga belouzdad goli nne Ili uvuke hutoboi
Wazawa anzeni na Andabwile.Mkataba wake umeisha. Makubaliano ya kuongeza yalishindikana. Mwamba akaamua kujiunga na timu ya nchini kwake Zimbabwe ya Hardrock Fc iliyopanda ligi kuu.
Kila la heri kwake.
Bado mashabiki tunasubiri fagio lipite. Maproo wengi ukimuondoa Okello na Diarra wanatakiwa kufyekwa ili wasajiliwe wachezaji wenye msaada wa kutosha kwenye timu. Na wazawa nao kuna baadhi yao wanakula tu mshahara. Uwanjani hawaonekani. Fyeka wote hao.
Bora hata Aziz Andabwile walau amecheza mechi kadhaa! Kuna Farid Mussa! Huyu naye anatakiwa akatafute changamoto mpya. Msimu mzima sikumbuki amecheza mechi ngapi.Wazawa anzeni na Andabwile.
Simba wakianza usajili wa mihemko nitawaona wajinga.Koletso Makgalwa anatakiwa na Simba na Yanga
Aloo tukimpoteza huyu mwamba taamini Simba tumejaza wapuuziKeep an eye on Anicet Oura
duuhKeep an eye on Anicet Oura
Daaaaaahh huyu jamaa asiondoke aiseeeKeep an eye on Anicet Oura
Hii itakuwa Waarabu watakuwa wameshafika bei. Halafu baada ya msimu mmoja ikizidi sana miwili wanamtema. Yale yale ya Tusila, Chama, Ahoua, Aziz Ki na wengineo.Keep an eye on Anicet Oura
Mchezaji anayejielewa kumzuia ni ngumuAloo tukimpoteza huyu mwamba taamini Simba tumejaza wapuuzi